MS nilisha achana naye siku nyingi nilipogundua hana lolote.Siyo kwamba ulimu-overdose MS?
MS nilisha achana naye siku nyingi nilipogundua hana lolote.
hongereni magamba kwa kushutuka chitanda si mtu mzuri hata kidogo kwa maendeleo ya taifa kwa ujumla
Poa mkuu. Pole kwa kifungo.
Pamoja wakuu hadi kieleweke.Nilisikitika sana! Anyway tupo pamoja
Pamoja wakuu hadi kieleweke.
MOD wamemvumilia MS imeshindikana wamempa BAN naye leo. Ngoja ID zake Lukuki zianze....! Kamanda nina picha za bendera za CDM vijijini kabisa, ukisema CCM wanakuona mchawi wewe nitaziapload baadaye. CDM yapata nguvu za ajabu.
Malaria SUGU nadhani ID yake nyingie ni Mohamed Shossi!Unamaanisha Malaria Sugu au Mohamed Shossi mana wote walikuwa sawa kimawazo.
Anyway yeyote awaye, mods wamefanya kazi yao vizuri.
Malaria SUGU nadhani ID yake nyingie ni Mohamed Shossi!
Nambari one ee! Nambari one X2 ni CCM!
Ni wakati wa John Tendwa kutumia katiba ya vyama vya siasa na maadili. kuangalia uwezekano wa Chadema kufutwa.
Ni chama kinacjhochea Vurugu kwani ndio maana matikeo mingi ya uvunjaji wa amani unaendelea.