CCM Arumeru Mashariki tujipange vema, bundi yupo mtini

CCM Arumeru Mashariki tujipange vema, bundi yupo mtini

mmaranguoriginal.

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
4,060
Reaction score
460
Wadau nawasalimu sana.

Ccm ni chama makini na chenye dola na wananchi Wa Meru mashariki wametupa ushindi ambao nitauita ushindi mwembamba kwa minajili ya matokeo yote yaliyohesabiwa kwa kuona kuna dalili ambazo inionyesha kuna kazi ngumu mwakani katika uchaguzi mkuu 2015.

Mosi nimesema hayo kutokana Nami nilikuwepo kwenye kila ziara za chama na kujionea mwenyewe changamoto tunazopata hasa kwa kundi la vijana ambao wanaonyesha dalili za kutupinga na kuonyesha ishara ya vidole viwili kila pahala.

Bundi ametua mtini kwa haya matokeo chini:

1: vijiji Ccm- 56
Chadema-34

2: vitongoji Ccm - 217
Chadema- 115

Nb: ikumbukwe kuwa chadema hawakuwa na kijiji na kitongoji hata kimoja.

Natoa ushauri kwa timu yote ya kamati ya siasa Meru tusikate Tamaa wala kurudi nyuma mwakani nia ya kumuondoa huyu nassary ipo pale pale

Nawasilisha tujipange kimakakati
 
Leo umekuwa muungwana...ulikuwa unakuja humu unamtukana sana Joshua Nassari a.k.a Dogo Janja....
Joshua amekuwa akijibu "Tutaheshimina Tu"....Na kweli heshima imeanza kuja.Futa Delete CCM!!
 
Pale bold pale!

teh teh teh teh
 
BIG BANG....Anguko kuu laja, magambaaaaaaaaa jiandaeni
 
Leo umekuwa muungwana...ulikuwa unakuja humu unamtukana sana Joshua Nassari a.k.a Dogo Janja....
Joshua amekuwa akijibu "Tutaheshimina Tu"....Na kweli heshima imeanza kuja.Futa Delete CCM!!

Kwani sio kweli kuwa nasary anahongwa maviwanja na wazungu Wa doli,anatumbua mfuko Wa jimbo, amehongwa gari aina ya harrier . Wanameru nimewadharau pamoja na matuhuma yote haya bado wanaipigia chadema kura
 
We mmarangu haya matokeo hujayapika kweli?!! nawasiwasi na takwimu hizi kwani tarafa ya poli mmepata vijiji vitatu tu vya poli, urisho na songoro huku nkoaranga, nndatu, sura,kilinga,seela,njani,nshupu,manyata,kilinga,nkoanekoli, sing'isi vikibebwa na chadema. Hii taarifa haiaminiki ngoja tuifanyie kazi.
 
Kwani sio kweli kuwa nasary anahongwa maviwanja na wazungu Wa doli,anatumbua mfuko Wa jimbo, amehongwa gari aina ya harrier . Wanameru nimewadharau pamoja na matuhuma yote haya bado wanaipigia chadema kura

Hivyo vitu vyote anavyohongwa anavitumia humu humu nchini kwa njia moja au nyingine vinanufaisha Watanzania, kitu ambacho ni tofauti na wale wanahongwa na kwenda kwekeza nje na kuweka fedha kwenye mabenki ya nje. Dharau kwa wananchi, ubabe, matumzi ya vyombo vya dola na wizi wa kura ndo sumu inayowamalizeni.
 
Bundi ametua mtini kwa haya matokeo chini:

1: vijiji Ccm- 56
Chadema-34

2: vitongoji Ccm - 217
Chadema- 115

Nb: ikumbukwe kuwa chadema hawakuwa na kijiji na kitongoji hata kimoja.

Natoa ushauri kwa timu yote ya kamati ya siasa Meru tusikate Tamaa wala kurudi nyuma mwakani nia ya kumuondoa huyu nassary ipo pale pale

Nawasilisha tujipange kimakakati

Kwa matokeo haya, Chadema walioanza na zero hadi 42.5% ya vijiji na 34.6% ya vitongoji. Hakika CCM ina kazi kwelikweli.
 
Ni kweli jipangeni kwa kuanza kuchimba kaburi ili mjizike wenyewe kabla wananchi hawajawazika kabisa 2015.
 
Kwa matokeo haya, Chadema walioanza na zero hadi 42.5% ya vijiji na 34.6% ya vitongoji. Hakika CCM ina kazi kwelikweli.

Si nilisikia CDM Arumeru inakata roho,sasa imefufufka lini?Duh,haya ndiyo matatizo ya kumdanganya Prof wa Kichina.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom