CCM and CHADEMA lugha ya picha!

CCM and CHADEMA lugha ya picha!

Tangopori

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Posts
1,628
Reaction score
1,290
Hatareee!
 

Attachments

  • kimba_n.jpg
    kimba_n.jpg
    4.4 KB · Views: 817
Mhhhhh! Nalo neno, ngoja waje wataalam waseme..ngoja mi nipite kwanza..naona kama ccm limekuwa jivi hivi..
 
Hivi mbunifu wa hiyo shepu ya kinyesi ni nani??? Maana mi sijawahi kuweka shape kama hiyo mpk leo
 
Duh hiyo picha inayoiwakilisha Gambaz kama ni Nnya ya ukweli basi huyo mnyaji ana Kipaji si mchezo.
 
Picha zote zimekamilika vema kila japo lajieleza
 
Tumekuelewa tutakaa mbali na kinyesi 2015
 
Kwa wale wanaoelewa hii lugha CCM ni sawa na mfuko wa mavi usipootupa kwa ajili ya harufu yake utautupa kwa kuelemewa! wenye macho na masikio chukueni hatua sasa!!
 
halafu kimba lenyewe lina sura ya kizamani kweli,tehe tehe tehe tehe hii ni chiboko.
 
Back
Top Bottom