CCM amueni kati ya hawa wawili

CCM amueni kati ya hawa wawili

january makamba siku ya kutangaza nia aliweka wazi kuhusu suala la gesi kwamba miaka kumi ijayo gesi itakuwa bado haijatoka kinachofanyika sasa ni miundo mbinu tu

10, year serikali na nchi imeyumba kwa kukosa rais asiye mtendaji na asiyependa urafikirafiki wa kijinga kazini,sasa tumaini la tanzania hii ni P, MAGUFULI TU,
 
Ngoja tusubiri,muda utatoa majibu, time will tell, lkn jambo kubwa moja ni kwamba hata kama angepatikana kiongozi mzuri ccm mfumo utamrudisha kulekule, kwahiyo tusitaraji mabadiliko chini ya uongozi wa ccm, mahafidhina ndani ya ccm hawawezi kuruhusu hilo na wanahofia mabadiliko makubwa. Mambo yatasalia yaleyale.
 
Wanzania tuamuitaji rais aina ya MAGUFULI bac,wakijichanganya tu ccm imeeat kwao.
 
Wanzania tuamuitaji rais aina ya MAGUFULI bac,wakijichanganya tu ccm imeeat kwao.
Kati ya sababu kubwa ya kushindwa kwake ni kutojieleza kwa watanzania kuhusu fikra zake na maono yake juu ya Tanzania na watanzania kwa ujumla. Hili ni kosa kubwa sana kwa sababu amepewa nafasi na demokrasia na ameshindwa kuitumia.
Mengine bado yanajadirika ingawa kwangu mimi amenisikitisha sana kwa kushindwa kuishauri serikali kujenga super highways kwenye barabara kuu za kuingia dar es salaam kutokea mikoani(barabara ya morogoro ambayo ujenzi wake unaendelea, barabara ya kilwa ambayo ujenzi wake umekamilika na barabara ya bagamoyo ambayo nayo ujenzi umeshakamilika kwa upande mmoja). Hii inaonesha ni kwa jinsi gani asivyo na vision bora kwa nchi hii kwa sababu na kutembea kwake kooote nje ya nchi kwa nini asingeshauri hizi barabara zijengwe kwa mtindo wa super highways??? at least kwa 3 au 4 lines kila moja?(huu ni mtazamo wangu sijui wengine)
 
Muhongo watu wanamkandia sana lakini kıuhalisia ni mtu ambaye anafaa kwa kila aina ya sifa.Nadhani akipata nafası hyo, anaweza badili sheria na kukifutia usajili chama cha mapinduzi .CCM lazima ifutiwe usajili akipatikana mtu makini.
 
Hahahaha. duuh we hatari mzee.
 
Team MUHONGO kampeni meneja lazima aweREGINALD MENGI ndio itakubalika. Chuki kwetu mwiko.
 
moja ya vitu alivobugi huyo 'le profeseri muongo' eti akipewa nchi ataiongoza kwa uchumi wa gesi na kila mwananchi atakuwa na bomba mbili, moja la gesi na moja la maji...hahaha how is this possible????

Hahaaaaaa
Nimecheka
 
Mwigulu ni mzuri ila aliniangusha kwa kweli. ile haikuwa ni hotuba ya kiongozi anayeelezea vision yake bali anayeelezea how ametoka kwenye umaskini na maisha magumu na how anavocritisize mfumo huu. haikuwa hotuba yenye maono iliyojikita kwenye sera na mikakati ya kutekeleza sera zake.

Mkuu,hii "trend" ya kupima watu kwa vigezo vya kuongea au midahalo ni mbaya sana,mtakuja chagua mtu aliyemeza chiriku halafu muanze kujuta baadaye.
Tuangalie utendaji wa hao watu huko nyuma ulikuwaje,hapo ndipo tutakuwa tumefanya jambo la maana.
Mimi naamini katika matendo zaidi ya maneno,maana kama kiongozi bora anapimwa kwa maneno yake au mipango yake,basi watakuwepo wengi maana hata mipango mizuri ipo mingi sana ambayo haijatekelezwa na watu ambao ni mabingwa wa mipango ya maneno.
 
Tuanzie ulipopendekeza wewe hapo.. Unauonaje utumishi wa Prof Muhongo pale wizara ya nishati na madini kwa hicho kipindi cha miaka isiyozidi miwili tu aliyokaa pale????? Mungu anakuona uongelee hapa. Na kumbuka huyu mtu amekaa kwenye system kwa iyo miaka miwili tu.
 
Muhongo namkubali saana lakini kinachonipa wasiwasi ni vile vikauli vyake vya kujibeba bungeni kipindi cha sakata la Escrow pamoja na kuziita nyaraka za Kafurila ni karatasi za kufungia maandazi mwishowe ukweli ukajulikana .swali langu mtu kama huyu kweli anafaa kuwa mtawala wa hii nchi?
Hapa bado matengenezo yanaitajika
 
Muhongo alijua fika kuwa though escrow was a scandal kweli ila yeye kama yeye hakuhusika na kufaidika hata chembe. Na alijua kuwa kuna syndicate fulani imejiandaa kwa dhumuni la kwanza ni kumuondoa yeye wizara ya nishati ya madini na alijua fika iyo syndicate ilijiandaa vipi na kila mtu anajua humu, tusemeni ukweli ndugu zanguni.
So kwa kila kitu alichokuwa akijitetea yeye kama yeye ilikuwa ni kuonyesha kuwa hao watu hawana ushahidi dhini yake kama ile dhana iliyokuwa inajengwa na ile syndicate kupitia baadhi ya wanasiasa na vyombo vya habari vyas mtu fulani kuwa yeye Muhongo ndo mwizi,aliyefaidika na kufix the whole escrow issue.
Huitaji kuwa na jicho la tatu au akili saaana au kisomo saaana uweze kujua hili.
 
January ni hazina na yuko vizuri sana ndugu. Sehemu pekee ninayoona tumpe mda na autumie vizuri huo mda ni kwenye eneo la usimamizi wa mambo na utendaji wa mambo katika uweredi wa hali ya juu( kwa sababu leadership tu sio kigezo hata uwezo kwenye management nao ni muhimu sana)

We ndio umepotea kabisa, unasifu na kuona mtu anafaa kwa sababu tu ya hotuba ya kutangaza nia? Pole sana. Kumbuka January alikuwa speech writer wa kikwete kwa muda mrefu na hivyo amepitia mafunzo mengi pamoja na uzoefu...! Issue uwezo wa utendaji na utekelezaji wa anayoandika anao? Haya sasa yeye kwa sasa ni naibu waziri wa mawasiliano, jiulize: AMEFANYA JAMBO GANI AU UBUNIFU GANI AU UTENDAJI GANI WENYE MANUFAA KWA WANANCHI? kama sio bureaucrat (mrasimu) tu? Hata kudhibiti wizi wa kampuni za simu kwa wateja ameshindwa!! ataweza uraisi? Yeye ndie aliyeleta na kutetea kwa nguvu zote ile sheria mpya kandamizi ya Cyber...je apo anatekeleza maslahi ya nani?
Ndugu zangu tusidanganyike kwa maneno ya jukwaani, tupine na kuangalia mtu kwa MATENDO NA UFANISI alioonyesha hapohapo alipo. YESU KRISTO ALISEMA ASIYEMWAMINIFU KWA MADOGO/KIDOGO HAWEZI KUWA MWAMINIFU AKIPEWA KIKUBWA ..
Mimi ndio maana saa nyingine naona mtu kama Magufuli angetufaa maana utendaji wake umeonekana kwa miaka mingi
 
Ndugu umeisoma mada vizuri lakini??? Hujaona kuwa ndio nimemsifia January ila kuna eneo nimemkosoa na nimesema anaitaji kuprove zaidi uwezo wake kwenye hilo eneo????
Sasa kwa ulichosema sema wewe na kilichoandikwa kwenye mada kuu kuna tofauti gani???
 
Back
Top Bottom