Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,494
- 57,871
- Thread starter
- #41
Ndugu yangu siko kwenye siasa za kumchafua mtu au kumsafisha mtu. Niko kwenye facts na hapa tuzungumze facts na sio maneno matupu. Sijui nini ambacho wewe unajua kuhusu Prof Muhongo na kiweke hapa na ushahidi wake ili kila mtu aone na afanye uamuzi wake. Unasema kuoza labda utuambie tu Muhongo kaoza wapi???Umepewa ngapi kumsafisha? Kama hujui kitu kaa kimya, acha kutetea waliooza.
Niko tayari kubadirika na kuwa na msimamo na wewe kuhusu Prof Muhongo pale utakapoleta uthibitisho wa uchafu wake humu jukwaani. Zaidi ya hapo nitaamini tu kuwa nawe ni mtu uliyekumbwa na ushawishi uliofanya na wanasiasa fulani wakishirikiana na media tycoon fulani ivi kwa kupitia vyombo vya habari kuuaminisha umma wa watanzania kuwa Prof Muhongo kafanya ivi alafu hadi leo watanzania nao pamoja na kuwa waliamini kipindi kile ila hawajiulizi kwa nini ripoti zote na kamati zote hazijamaja wala hazijamuita Prof Muhongo????
ila kikubwa kwa leo tafuta hotuba yake wakati anatangaza nia ndugu yangu utapata kitu usiku wa leo.