Betterhalfay
Senior Member
- Apr 3, 2015
- 170
- 33
Mkuu umetoa analysis nzuri sana.Binafsi namsupport EL kwa kuwa hapendi longolongo.Aidha,Wamasai na Wameru(mtazamo wangu) wako straight.May be Prof Muhongo apewe U-PM au arudishwe tena kwny eneo lake.
Kuhusu January,wkt safari inaanza tyr ameonekana kutumia mamlaka yake vibaya hasa kupitia Wizara anayoisimamia akiwa Naibu Waziri,hali ya jana kwny baadhi ya mitandao na media imedhihirisha hilo.