CCK katika harakati za usajili wa kudumu

nilimuona mwenyekiti wake kwenye kipindi cha star tv yuko shallow ile mbaya hana analolijua mradi tu nae kaoewa uwezesho ili wakija "wenye chama" anawapisha. Tutawajua tu hao wenye chama time will tell
 
Inawezekana ni kweli ni Chama Cha Kijamii au ni Chama Cha Kifisadi...only time will tell
 
Back
Top Bottom