CCK katika harakati za usajili wa kudumu

F12

Member
Joined
Jun 15, 2011
Messages
55
Points
70

F12

Member
Joined Jun 15, 2011
55 70
Hatima ya mambo kwa hapa huwa tunayo sisi wapiga kura, tumuweke nani atuongoze na kutawala lakin kwa7bu ya rushwa na uchakachuaji hujikuta 2po ktk cntofahamu mwanzo mwisho. hakuna ccj, cdm, cck na wengineo wa style kama hizi ni usanii 2 hawana jipya, mwananchi think big
 

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Messages
32,848
Points
2,000

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined Mar 10, 2006
32,848 2,000
I am curious to know if Mr Six and Nape are also among the founder members of this part. Is the coctail going to be the same in the new bottle?
Kina Sitta na Nape hawahusiki na hawawezi kuhusika na chama hiki. Wote hawa walikuwa na nafasi katika CCJ wakashindwa. CCK ni zao jipya kabisa. Kumbuka tayari ilikuwa na usajili wa muda.
 

Swahilian

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2009
Messages
589
Points
195

Swahilian

JF-Expert Member
Joined Apr 28, 2009
589 195
hivi chama kikianza na vifupisho vya CC ndio huwa na nguvu sana nji hii....
Kweli hii ndio siasa bomozi.
Kwa kiasi kikubwa inakuwa mtaji kwa yule CC Baba!
Cjui na cdhani kama kweli ukombozi utaletwa na haka ka CC.
YANGU MAICHO...
 

maulaga

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2009
Messages
472
Points
0

maulaga

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2009
472 0
usijifanye kipofu kaka hakuna kitu kama six wala EL AND EC,chama cha sita na akina nape kilikuwa CCJ bali cck ni harakati za vijana wa vyuo vikuu ndani na nje ya tanzania waliochoshwa na siasa taka za CDM NA CCM BILA KUWASAHAU CUF NA VIBARAKA WAO AKINA NCCR,TLP,UDP,UPDP,TADEA,NRA,PPT MAENDELEO NA VIBARAKA WENGINE NSIOWAKUMBUKA MAJINA,karibu tuungane kulikomboa taifa bila hisia za udini,ukabila na ukanda!
Mbona na wewe unarudia ugonjwa uleule! kama CCK niharakati za vijana wa vyuo vikuu sasa sisi tusiosoma tutawaunga mkono kwa sababu zipi? naona mmeshashindwa kabla ya kuanza.
 

only83

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Messages
5,343
Points
2,000

only83

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2010
5,343 2,000
HAYA wandugu,kile chama makini chenye viongozi vijana wenye mtazamo wa kuikwamua nchi katika matatizo magumu sasa kipo iringa pamoja na Ruvuma katika harakati za kuhakiki wanachama kuelekea usajili wa kudumu.

ratiba ya zoezi zima ni kama ifuatavyo:

Ruvuma zoezi linafanyika leo tarehe 25/08/2011
Musoma zoezi litafanyika tarehe 5/9/2011
pemba kaskazini zoezi litafanyika tarehe 12/9/2011
unguja kaskazini itakuwa tarehe 15/9/2011

shime vijana wa kitanzania tufanye harakati za ukombozi kumuenzi baba wa taifa hili
Nimesikia wanachama wake wengine ni kutoka magamba.......ni kweli?
 

Arafat

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2009
Messages
2,581
Points
0

Arafat

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2009
2,581 0
CCJ ilikuwa ya six, nepi sijui na nani vile
sitashangaa kusikia
CCK ni ya EL, RA na EC
teh teh teh teh! Hivi vyama vinanivunja mbavu kweli
Lowasa hana haja ya kuanzisha chama Mkuu, hao wote unaowafikiria wataondoka na kumwachia CCM, subiri kikao cha NEC kijacho ndio utajuwa kuwa EL, AC, RA na JMK walichangia damu kwa yamini huku wakila nyama mbichi ya ngombe mzima ambaye hajachinjwa! ngombe aliombewa duwa akalala chini wakawa wanakata nyama kila mmoja kwa kipande chake kama yamini ya kulindana hadi ahera.
 

Forum statistics

Threads 1,382,667
Members 526,426
Posts 33,833,361
Top