jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,379
- 25,476
Invisible kaanzisha thread ya maana sana...Nilimwambia MKJJ kuwa Tendwa kaajiriwa na nani na anafanya kazi kwa matakwa ya nani,so ni muhimu kuanzia huko,kabla ya kufikiria ni yapi tutafanya mara baada ya kuing'o ccm,ni budi tufikiri namna ya kujenga mazingira ya kuwang'oa ccm,na ndio maana watu wanifikiria kuwang'oa hawa kwanza....hatuwezi kupambana na panya kwenye njia zao,utaloose tu,dawa ni kuflush out!