mzee alpha
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 711
- 264
Habari wanajamvi
Nimekwenda hosipitali ya CCBRT leo hii kwa ajili ya kupima miwani mala baada ya miwani yangu kuvunjika nikiwa nashuka kwenye darada
Nilichokikuta pale ni huduma ziko well organized mpaka unapokenda kumuona daktari. Kuna screen na spika kubwa zimefungwa kwenye hall na mgonjwa unasikiliza namba yako, ikiitwa utaona kwa screen na utasikia sauti ikikuelekeza wapi pa kwenda,. Huduma ni nzuri kwakweli mpaka mgonjwa unapokwenda kuchukua miwani kasheshe ndo inaanza
Miwani nimefika nikaambiwa sh laki tatu na 30, cylinder yangu cjui imekuaje, lens yangu sijui imekuaje and a bunch of medical terms mpaka nikamwambia dada speak English. Ndomaana bei yake iko juu, lakini cha ajabu kuna mgonjwa mwenzangu yeye ana lens ya 0.75.. Nayeye akaambiwa bei sawa na yangu yaani laki tatu na thelathini (330000).
Kwavile nilikuwa tayari nipo hosipitali na nia yangu ni kupona nikaamua kuuliza je miwani yenu hapa ccbrt inanini cha ziada, nikaambiwa inafanyiwa coating na vitu vngine ambavyo sikuvielewa.
Ebu wakuu nisaidieni, kwa prescription ya lens aina hii ni halali au si halali kupewa miwani na flem kwa 130k, na kwa lens pekee bila flem (kana nina flem yangu) kwa sh 90k? Nawasilisha.