Ivi umesoma uzi, yani bila frame (lenses pekeyake) ni sh 90k ila na frame ni sh 130k na siyo frame kama ya jk au jpm. Ni zakawaida ambazo azina bei kubwa kiasi hicho. Sasa ndomaana nika uliza (sishangai kama bichwa lako linavyokutuma mkuu) and i can afford it lakini je vipi kwa wale wasioweza kumudu?, na kuna ukweli au uhalali wowote wa lens kuuzwa 90k?hiyo lens ina nini? Ndomaana nikauliza na nikaweka na prescription niliyopewa labda nijue lens za aina hiyo znaendana na bei tajwa, simply like that.