Jongwe
JF-Expert Member
- Apr 25, 2008
- 1,040
- 662
Wadau, huduma ya kutoa na kuweka fedha katika bank ya Commercial Bank of Afrika haipo kwa kipindi toka Jumanne jioni mpaka leo hii. Sababu kuu ni kwamba hakuna mtandao. Wateja wamekuwa wakiteseka maana hawawezi kutoa pesa zao kwa ajili ya matumizi kwani hata huuduma kwenye ATM pia haipatikani.
Wahusika CBA tafadhari chukueni hatua haraka maana watu hutunza pesa zao bank hawakai nazo nyumbani. Je wanaishi vipi? Ukienda wanakuambia hii ni emergency... Je mtawafidia hao wateja wenu kwa usumbufu? Nyie mkicheleweshewa pesa yenu ya riba mnatoa adhabu, je nyie tutaadhibiwa vipi? Watu wameanza kukopa kwa riba mtaani..