Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,887
- 141,526
- Thread starter
- #41
Naona wewe ni bingwa wa kukosoa wengine lakini unashindwa kuona mapungufu yako.
Hujaonyesha hayo mapungufu kikamilifu.
Unapoonyesha mapungufu unatakiwa uonyeshe jinsi inavyotakiwa iwe. Sasa wewe unasema "naona kama unaandika Kiarabu"....kwa akili yako hapo umeonyesha mapungufu gani?
Kama una akili utaonyesha hayo mapungufu tena kwa lugha ya uhakika na si kutumia maneno kama "naona" ambayo hutumiwa zaidi kuelezea mitazamo na si mambo ya uhakika.
Sasa onyesha hicho Kiarabu unachokiona halafu uweke na jinsi ambavyo ilitakiwa iwe kwa Kiingereza. Kama una akili utaweza, kama huna hutaweza na mimi nadhani hutaweza. Thibitisha visivyo.