Catherine Ruge aapa bungeni

Catherine Ruge aapa bungeni

Tuletee na zile picha ya wale warembo wabunge wa EALA toka FISIEM
 
Mbunge pekee ambaye huwa naona fahari kama mwanamke kwa uwepo wake bungeni ni Halima Mdee,kwangu huyu ndiye mrembo kuliko wote.
#BeautifulWithBrain#
Ahahahaaa!!!
Ule msauti daaahh!!! Ni mzuri lakn siyo romantic
 
Ana ulemavu gani huyu binti? Maana nilisikia ni viti maalumu-ulemavu
 
upendo peneza kafunika wote,mimi akiingia kwenye kumi na nane zangu naoa kabisa yule mtoto
 
Back
Top Bottom