Catherine Ruge aapa bungeni

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,581
IMG-20170508-WA0192.jpg
 
Yaani Mbowe kateua sana,lakini hapo amekonga nyoyo.Ageuke basi Ndugai alikuna kichwa!
 
Huyo wa kawaida sana labda naona tu rangi yake ya chungwa (kachumbari flavor)
kwa jinsi inavyosharabu kwenye macho basi ndo mnadata wazee wa hite color.
By the way mbona kanyofoa nyusi zote na kuishia kujichora mistari wa penseli kuelekea upande ambao nyusi zake hazipiti kabisa, mtizame ka makini, yaani ni kama vile maji yanapopita ile njia ambayao siyo mondo wake wa asili
(akumbuke kuwa nyusi zina umuhimu wake mkubwa hasa kuzuia bactreia na jasho kutoathiri jicho kirahisi )

upload_2017-5-8_16-36-7.jpeg
 
Back
Top Bottom