catherine pliiiiz have mercy ?!?!???

catherine pliiiiz have mercy ?!?!???

Babu Asprin tafadhali tafadhali usinifanye nikuimbie wimbo wa "Sheila"
sheila, Sheila, nionee huruma
kwani moyo unaniuma
wengi wapo, wanakupenda (Yummy, cacico, sweetlady, Mamndenyi, princess enny, Roulette, et al)
niachie huyu ( Catherine), ananipenda
Sheilaaaaa...ooh Sheilaaaaah....... (penye Sheila weka Asprin.)


shem Kaizer, na wewe unamuunga mkono?? ngoja nimbip dada AshaDii.




Pyeeeeee Yummy...chezeiya mentor wewe!!! uninyimacho wewe nakipata kwa my one n only Catherine!!!
Kwanza ata sijui umeibukia wapi wewe..umetumwa na Meritta nini!??
Alright hommie Mentor.... Catherine popote pale ulipo, go that way without...
 
Last edited by a moderator:
OOhh...we enny, ushakaguliwa na babu!?? (babu..has she been to u for ukaguzi!??)



Pamoko mkubwa..nimekupata kwa nguvu ya tano!!!
Bado asee... tatizo haka kachapombe sana afu mapepe..... Si unakaona hapo kako na washkaji zake? Umewajua ni kina nani?

attachment.php
 
Babu Asprin tafadhali tafadhali usinifanye nikuimbie wimbo wa "Sheila"
sheila, Sheila, nionee huruma
kwani moyo unaniuma
wengi wapo, wanakupenda (@yummy, cacico, sweetlady, Mamndenyi, princess enny, Roulette, et al)
niachie huyu ( Catherine), ananipenda
Sheilaaaaa...ooh Sheilaaaaah....... (penye Sheila weka Asprin.)


shem Kaizer, na wewe unamuunga mkono?? ngoja nimbip dada AshaDii.




Pyeeeeee Yummy...chezeiya mentor wewe!!! uninyimacho wewe nakipata kwa my one n only Catherine!!!
Kwanza ata sijui umeibukia wapi wewe..umetumwa na Meritta nini!??

Akuuuh mi simo
 
mi saivi nawatazama tuu mana kama kazi nimefanya kubwa tuu
 
sijambo mama, naona haya mapenzi yashanishinda. Bora niendelee kutafuta raw materials nimuumbe wangu wa peke yangu.

Hahahahaaaaaaaaaaaa.......mi iko penda weye sana tu,achana na hiyo mizoga mazee.
 
mi saivi nawatazama tuu mana kama kazi nimefanya kubwa tuu

Mammiy hebu mbona hapa sielewielewi kinacho?
Naona mtu anaelewa mara haelewi !
Huny kumbuka tunatumia Heneji (energy) kurap! Then inakua iendee - irejee!
 
Hahahahaaaaaaaaaaaa.......mi iko penda weye sana tu,achana na hiyo mizoga mazee.

mi penda wewe pia mrembo yummy ila huyu Mentor aje aseme hapa, kama anatutaka wote na mimi nitafute kasmol house (si unajua sahivi haki sawa my dear)
 
Last edited by a moderator:
Mammiy hebu mbona hapa sielewielewi kinacho?
Naona mtu anaelewa mara haelewi !
Huny kumbuka tunatumia Heneji (energy) kurap! Then inakua iendee - irejee!

yaani shem, ndoa ndio kwanza changaa nishamfumania Mentor na kitaulo nyumba ya jirani. Uwiii! Hapa sijui niombe talaka!
 
Last edited by a moderator:
sijambo mama, naona haya mapenzi yashanishinda. Bora niendelee kutafuta raw materials nimuumbe wangu wa peke yangu.

Hivi cate unataka hadi usikie msiba ndo ujue kuwa unapendwa au inakuaje hivi wewe uko bize na watu hawa mekuambia mimi jaman usiwasikilize kuna watu wameumbwa kwaajili hiyo mamito hebu basi nambie unataka nin mbona ivo mpenzi hebu usinifanyie mimi hiki kitu taafadhali
 
Mammiy hebu mbona hapa sielewielewi kinacho?
Naona mtu anaelewa mara haelewi !
Huny kumbuka tunatumia Heneji (energy) kurap! Then inakua iendee - irejee!

Iwill b very disappointed kiukweli if she will drop down the proposal mi tena sina usemi nimesema yote mekuwa mstari wa mbele kupambana na wale wote waliokuwa wakileta kauzibe but aaaaaah cathy sijui anahitaji nin mana hao anaohis ni raw material kumbe ni semi finished product
 
yaani shem, ndoa ndio kwanza changaa nishamfumania Mentor na kitaulo nyumba ya jirani. Uwiii! Hapa sijui niombe talaka!

Umemfumania wapi mbona unaanza sababu hivo mentor mara nying nakuwaga nae sa wapi mamiii mbona ivo lakin cathy moyo wangu unauma siamin kama tuu unataka sambaratisha furaha hii kwa kaka na kwa familia hii
 
Last edited by a moderator:
My wi huoni hapo juu kaka yako anamwita yummy kwa PM tena anadai anampenda sana. Mi nishapata headache, ngoja nipumzike ila mwambie mentor aje this way tueleweshane hapo.
 
My wi huoni hapo juu kaka yako anamwita yummy kwa PM tena anadai anampenda sana. Mi nishapata headache, ngoja nipumzike ila mwambie mentor aje this way tueleweshane hapo.

Hakuna kitu bana hao wanataka haribu penzi lako kwa mentor mentor kichwa leo kinamuuma kalala mapema kweli ila kesho asubuh atakuja kuweka mambo sawa.love u my wii
 
Back
Top Bottom