Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,769
- 3,649
Imeisha mbona u still here and nikueleze hizo mambo ni ya karne hiyoooo sahiz ukitaka subiria ungoja saaana babu wee if i want n need kitu i go for it soo ustake kujishangalisha hapa wakt hakuna cha kushangaa
usiogope kipenzy,wanaume wote hawajafananaeenh saiv naogopa wanaume wenye majina ya utata maana, Mentor kanifanyia umentor, na wewe 99problems dah si itakuwa issue.
Beibe nasty umenistua ujue! Tatizo mi nataka wa peke yangu. Nikiangalia humu naona men karibia wote wana mtu zaidi ya mmoja. Mfano Kaizer yupo na dada gfsonwin ila macho juu juu kwa CUTE na kiroho kinastuka kwa Remmy. Erickb52 ana mijimama yake miwili. Bishanga nae amewajaza kwenye mohamed trans. Babu Asprin anatokeleza jf nzima, yaani kashindikanika mazima (@cacico, BADILI TABIA, The secretary na Kongosho mashahidi hapa). Nikirudi kwa Mentor naona Meritta bado anampenda na sijajua kama King'asti wameachana kweli au wamepeana mapumziko. Najua sharing is caring ila mmmmm (.....). Nimeambiwa kama nataka wa peke yangu labda nimuumbe, so kwa sahv natafuta raw materials.
Catheriiine wewe taaafadhali hao ni wale wasiotaka maendeleo huyo merritta asikupe hata chafya my dia hanajipya hapo yupo hajitambui na ndo 99 problems anamsalandia king'ast keshabebwa siku ming huon anajiosha kwa kayzer hapo na kiukweli hapa jukwaan kipenz wanga weng tuu unadhan yan yataka moyo wasubra mamito kama ilivokuwa kwa jg na mim oooh wakazikaanga mbuyu wee but hatmae mi na jg jg na mimi twapendana kufaa pliiiz mentor loves u so much he will actually urs darlin pliz usiniabishe mimi mtu mzima hivii pliiz catherine
Hehehee mi simo
Acha hizo we unadhan ungekuwa mpole yangekukuta haya eboo hesma bado ipo na ndo nakwambia salam ntakupa, na kama kubabuka ngoz ubabuke sawa wewe nan wewe tena aaah aaaahaa merrita
Hadi wewe beibe nasty...Mie ngachoka kuchu.
Haahhaahah washangaa nin haya nambie hw are u?
eenh saiv naogopa wanaume wenye majina ya utata maana, Mentor kanifanyia umentor, na wewe 99problems dah si itakuwa issue.
heeh beibe nasty c nlikwambia mim!! bint kagoma!!lol mentor pole mwaya!! catherine umewatenda wenzio au leo unakesha kanisani!!?Kunakaz kanambia anafanya akimaliza atakuja
heeh beibe nasty c nlikwambia mim!! bint kagoma!!lol mentor pole mwaya!! catherine umewatenda wenzio au leo unakesha kanisani!!?
Khaaa!!! Wewe kweli hunipendi yaani ndio unataka kunibamiza na gogo lote hilo?
Jaman hii basi kunywa maji sasa
maji hayasaidii kitu...Dawa yangu ni wewe...nikikuona tu roho yangu itatulia.
Jaman hii basi kunywa maji sasa
Hee mume wangu mbna ukali hivoo samahan ka mekosea yaallah hakuna kitu chakunifanya niende pm na young master jaman wewe ndo kilakituUmeitwa mkapeane maji ! Na migongo kushtuana.
Umeitwa mkapeane maji ! Na migongo kushtuana!
Hii makitu umeandaa a particular or specific niione au?
Btw maji ya bahari hayapimwi kwa kidole ! Somehow!