Meritta na King'asti....njooni mjibu sasa.Beibe nasty umenistua ujue! Tatizo mi nataka wa peke yangu. Nikiangalia humu naona men karibia wote wana mtu zaidi ya mmoja. Mfano Kaizer yupo na dada gfsonwin ila macho juu juu kwa CUTE na kiroho kinastuka kwa Remmy. Erickb52 ana mijimama yake miwili. Bishanga nae amewajaza kwenye mohamed trans. Babu Asprin anatokeleza jf nzima, yaani kashindikanika mazima (cacico, BADILI TABIA, The secretary na Kongosho mashahidi hapa). Nikirudi kwa Mentor naona Meritta bado anampenda na sijajua kama King'asti wameachana kweli au wamepeana mapumziko. Najua sharing is caring ila mmmmm (.....). Nimeambiwa kama nataka wa peke yangu labda nimuumbe, so kwa sahv natafuta raw materials.
My Wife pole kwa mijuhudi kibwena! Unayomjuhudia my Shem.
Btw mbona naona competition ime'rise up kwa sana?
You got plenties competitors with rivals! How comes?
Contesters are so many?
Kwani what is unconditional love?
Navyojua mie all we need to feel loved ! .
All we think about it !
We hope for it !
We fantasize about it !
And we go to great lengths to achieve it !
Nway we feel that our lives are incoplete without it ! .
Shem wa ukweli....
Young Master...shangaa kimya kimya basi.Duh!!! Kumbe hadi wanawake siku hizi wanaweza kazi ya kutongozesha na kuwa washenga...!!! Ama kweli dunia imekwisha.
Duh!!! Kumbe hadi wanawake siku hizi wanaweza kazi ya kutongozesha na kuwa washenga...!!! Ama kweli dunia imekwisha.
Ashangae nin na wewe akshangae feri huko ankuja shangaa miandiko ya watu kuhusu hisia hebu na wewe ustake niudhi sahii ooohooYoung Master...shangaa kimya kimya basi.
Za asubuhi...
My Wife pole kwa mijuhudi kibwena! Unayomjuhudia my Shem.
Btw mbona naona competition ime'rise up kwa sana?
You got plenties competitors with rivals! How comes?
Contesters are so many?
Kwani what is unconditional love?
Navyojua mie all we need to feel loved ! .
All we think about it !
We hope for it !
We fantasize about it !
And we go to great lengths to achieve it !
Nway we feel that our lives are incoplete without it ! .
Duh!!! Kumbe hadi wanawake siku hizi wanaweza kazi ya kutongozesha na kuwa washenga...!!! Ama kweli dunia imekwisha.
ukweli nikwamba kisa tumeweka hapa thrade baasi tunaonekana wabaya naonekana kuwadi ila heri yangu nilietangaza nia on behalf of my lovely broo so cheza na duara lakoNa ukuwadi pia wanaweza kudadadadadeki.
mke mwenzangu upo?siamini hili limenipita.......
We usiuseme moyo wake we vipi kaa pemben unatukinga na kanisan umeenda fanya nini kujitafutia midhambi tuu hiii nyie watu bana mnachekesha et catherine keshaamua weee tafadhali mumuache mmeshindwa kuniandama mim mnahamia kwa my wii catherine unaona ninavvokupigania wifi taafali hata kama hutaki kujibu hapa basi ni pm tafaadhali hebu ona watu wenye busara zao kama mume wangu judgement anakubembeleza kweli mamiloo say smthn pliiz
Umeyataka piga kimya uone kama utaona hata silabi mojaMbona maneno mengi ivo? Lol
siamini hili limenipita.......