beibe nasty
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 1,640
- 525
- Thread starter
-
- #61
@Kaizer, I swear in the name of futari wifi aninyime, mie sijawahi hata kukonyezwa na Mentor. Sijui kidada chake kimepatia wapi idea hii.
Kucheka na kutabasamu hapa ndo nyumbn kwake siwez kunja ndita ndo tatizo jg analijua hilo, mentor mwenyewe ni shahd mzuri kakaangu huyu
natumai bibie Catherine atakubali ombi la Mentor lililowasilishwa na beibe nasty shostito wa ukwee.
Mentor nakusihi kaka yangu once bi caty akikubali ombi lako naomba utangaze ndoa haraka iwezekanavyo, sio kumchezea mtoto wa watu thn um-dump! i think u understand warra i mean. .m.
natumai bibie Catherine atakubali ombi la Mentor lililowasilishwa na beibe nasty shostito wa ukwee.
Mentor nakusihi kaka yangu once bi caty akikubali ombi lako naomba utangaze ndoa haraka iwezekanavyo, sio kumchezea mtoto wa watu thn um-dump! i think u understand warra i mean. .m.
Halooooo haya akaaaa sa nin kutompenda wewe kaka angu mi inanihusu nin sasa akuu my bb mentor ndo mpango mzimanishasema unipi shida ila unapomtaja huyo kaka yako ndo unazid kuniboa
Hakuna kitu hapo, hakuna muoaji wala nini. Mentor a.k.a kanyaga twende
Labda catherine apoteze bahat mwenyewe cc inawakaanga sumu sana tuu ila catcat akikubali tuu ooohooo ujue ndoa ipo mlangon na hatuhitaj michango
Ivi mi ndo sielewi au ni vipi! Ina maana jamaa ni domo zege hadi dada mtu aamue kuchukua jukumu au?
Yaani siku hizi wanachitchat na homa za mapenzi....duh!
Ni kama petroli na moto!! LOL
Halooooo haya akaaaa sa nin kutompenda wewe kaka angu mi inanihusu nin sasa akuu my bb mentor ndo mpango mzima
tena inakuhusu sana we si una kazi ya kumtongozea na wanawake huyo kaka yako aliyekosa aibu na soni
Sijamtongozea ila meshindwa vumilia kuona kakaangu anaumia. Najua unawaza enzi nzile na kwabaht mbaya nilikua masomon so sikukupetipeti mwanzon mekuja ukaakaa mwishowe ukazingua na ndo mie nkawepo mda huo ila sio kitu salamu muhmu sikuhiz watu wanaachana kidemokrasia tuu
Acha hizo we unadhan ungekuwa mpole yangekukuta haya eboo hesma bado ipo na ndo nakwambia salam ntakupa, na kama kubabuka ngoz ubabuke sawa wewe nan wewe tena aaah aaaahaa merritaMI Na wewe ni vita kwa kwenda mbele staki salamu ya kutoka kwa mtu wa ukoo wenu.
Ngoja niskie shoga ako charminglady atasemaje kwa hili. Kama naye akilikubali nitajua cha kusemaSijamtongozea ila meshindwa vumilia kuona kakaangu anaumia. Najua unawaza enzi nzile na kwabaht mbaya nilikua masomon so sikukupetipeti mwanzon mekuja ukaakaa mwishowe ukazingua na ndo mie nkawepo mda huo ila sio kitu salamu muhmu sikuhiz watu wanaachana kidemokrasia tuu
Ndo kilichobaki hicho kipipi s
Meritta njoo mi nakutaka aisee wasikuzingue
Ngoja niskie shoga ako charminglady atasemaje kwa hili. Kama naye akilikubali nitajua cha kusema