Casual Conversation: DAE struggle to maintain friendships?

Baada ya kupitia michango ya wadau nimepata Mwanga kidogo

Binafsi tangu Utoto sinaga Rafiki wa kusema huyu sasa ni huyu, na wala halinipi shida wala. Kwangu mimi ukitaka kukaa kaa, usipotaka kukaa wewe nenda tu kwa sala safi. Mara zote huwa napenda mpenzi wangu ndiye awe rafiki yangu wa ukweli.
 
mi nawaangalia tu hapa wanavyojitutumua na comment zao za I dont need friends.. vikitaka kuoa au kuolewa ndo vinaanza kusumbua na text na kujipendekeza kwa saaaana.

vikikosa kodi ya nyumba ndo tunakumbukwa. vikiishiwa hela ya kula bip bip haziishi.

binadam bana. hatujawaigi kujielewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii thread imejaa watu wenye ego na waliongalia a lot of Hollywood movies.

Ewe mtu unaesoma uzi Huu as a member or as a guest Kutokuwa na marafiki it's not normal it's a problem. Na ndo maana wazungu wenyewe wanatafutia solution. Utakuta these days wana reading clubs au social gatherings ili watu wakutane watengeneze urafiki. Why? Coz loneliness has killed lots of people more than AIDS will ever do.

Tena kwa mazingira yetu ya kiafrika you need friends kusurvive . Find people, call them when you miss them create your own networks wakuu. Maisha ni mafupi Sana.
Hayo mambo ya kuwa your own best friend yako theoretical Sana.

This is Africa. Ohooooo.

Psychiatrists.
 
Labda nikuulize umeolewa au una Boyfriend maana hao wote ni marafiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unachozungumza kwangu nakupa 100% yes.
Very yes!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mkuu kama kila ukijitahidi kutafuta marafiki na kufanya kila jitihada wabaki maishani mwako lakini mwisho wa siku bado wanaondoka unadhani utafanyaje ??
 
Sasa mkuu kama kila ukijitahidi kutafuta marafiki na kufanya kila jitihada wabaki maishani mwako lakini mwisho wa siku bado wanaondoka unadhani utafanyaje ??
Then unatatizo mahali, either uko na wrong circle, au biased au unamaringaringa
 
You're selfish, insecure and lacking self-confidence. I can easily say that you have a mental struggle arising from opposing demands and impulses.

Kama umeweza kujitambua, nakushauri just work on every issue, break it with solutions, na tekeleza kwa usahihi. Kwamba, badilika. Sio kawaida kwa mwanadamu (social being).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NB:1.usimwamini sana rafiki.
2.dont expose your personal issues to Friends..(it will be used against you later)
3.rafiki hatafutwi bali anakuja mwenyewe
4.know ur circle
5.real friends care ..all time at all circumstance.
6.ikishindikana pambana na Hali yako..and relax..Kwa sababu katiba ya nchi haijasema ni lazima uwe na rafiki😎😀
 
This has been noted. Thank you.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…