Wakuu mi nina div 2.12.'D phy,D chem,D adv math' old grad,nimepita first round.je ninitapangiwa wapi
priority
1.civil ud
2.civil ardhi
3.civil d.i.t
4.civil st.joseph
5.civil mbeya uni.
Kwa wote jamani hata mimi
kwanini sitojuta mkuu?Ombea uende mbeya university utojuta
kwanini sitojuta mkuu?
Wakuu nimetembelea tcu.go.tz pale kwenye CAS hapafunguki kabisa, hivi tatizo ni nini? Msaada tafadhali!
No chuo kizuri cha kusomea mazingira yanaruhusu na facilities zipo na ma lecture wapo wa kutosha
Hamna kitu must usiende