akilikubwa
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 590
- 108
Ahsate ndugu. Kwahyo nachotakiwa ni kusubiri Kama ntachaguliwa tena??
Lakini hakuna kithibitisho kwamba hyo coz imeingia kwenye system ndomana nawasiwasi
Unajua sababu ya kufanya choice 5?kama unajua basi you dont have to wory..kama hujui am sory but kama kuna kozi uliweka choice ya 5 lakini huipendi unaweza jikuta umetupwa humo..
TCU hawaeleweki...let say umeenda kwenye kuchagua secondround..ukiweka course then ikakubali..hlfu urudi kwenye "view selections" haukuti hiyo course, then at times course za mwanzo zinarudi zote.
Nilikua nimeomba MD
Labda niulize kuna mtu profile yake...hakuna changes zozote....yaani ipo kama awali.
1.UDOMMpangilio wako wa course ulikuwaje basing on priority.?
umekoasa? duuh1.UDOM
2.UDSM
3.KCMC
4.Ifikara
5.BUGANDO
1.UDOM
2.UDSM
3.KCMC
4.Ifikara
5.BUGANDO
joh hujanielewa...!Mkuu mbona ishu ni simple sana..ukitaka kujua angalia kozi unayoitaka alafu capacity ya kozi ndo uichague ndio wanachomanisha.
mtu una PHY C, CHEM B+ na BIOS B+ hata kairuki nimekosa.
mtu una PHY C, CHEM B+ na BIOS B+ hata kairuki nimekosa.