thedaydreamer
JF-Expert Member
- Nov 26, 2014
- 372
- 88
ki vip bro zenye nafas ndo sijakuelewa kaka
nilijua unaulizia choices za wanaotakiwa kufanya 2nd round so maelezo yangu ilikuwa ni kuhusu inavyokuwa kwenye selection kwenye profile, kama ni swala la selection kwa waliopata 1st round of selection ni kama walivyoandika kwenye profile kwamba majina yamepelekwa chuoni kwa ajili ya udhibitisho so yataanzia kwenye website ya chuo husika kabla tcu hawajaweka link maalum inayohusisha wote 1st na 2nd ingawa hii inaeza chelewa manake sio ya kuupdate kama ile list ya website za chuo husika.
Wameandika majina yamepelekwa chuo Mmh profile ya naniiiii Hiyo apige screen capture tuoneee
CAS imezingua tena
mi sioni mabadiliko yoyote. wale wazee wenzangu wa NACTE kwenu kuna jipya?
Wameandika majina yamepelekwa chuo Mmh profile ya naniiiii Hiyo apige screen capture tuoneee
Wadau swali ni kuwa,, Km mtu Alichelew kutuma maombi TCU first round ,,,anaweza kutuma maombi second round itakapo anza? Au ni kwa wale tu walio apply wakakosa.
Wadau swali ni kuwa,, Km mtu Alichelew kutuma maombi TCU first round ,,,anaweza kutuma maombi second round itakapo anza? Au ni kwa wale tu walio apply wakakosa.
Mm nacte wamenichagua telecommunication engineering udsm
Utafanya second round endapo uliomba first round na ukakosa not otherwise
Wadau swali ni kuwa,, Km mtu Alichelew kutuma maombi TCU first round ,,,anaweza kutuma maombi second round itakapo anza? Au ni kwa wale tu walio apply wakakosa.
Wameandika majina yamepelekwa chuo Mmh profile ya naniiiii Hiyo apige screen capture tuoneee
Utafanya second round endapo uliomba first round na ukakosa not otherwise
jaman me kwenye profile yang wameniandikia processing inamaana gan coz nashindwa kujua first na second selection ni ipinilijua unaulizia choices za wanaotakiwa kufanya 2nd round so maelezo yangu ilikuwa ni kuhusu inavyokuwa kwenye selection kwenye profile, kama ni swala la selection kwa waliopata 1st round of selection ni kama walivyoandika kwenye profile kwamba majina yamepelekwa chuoni kwa ajili ya udhibitisho so yataanzia kwenye website ya chuo husika kabla tcu hawajaweka link maalum inayohusisha wote 1st na 2nd ingawa hii inaeza chelewa manake sio ya kuupdate kama ile list ya website za chuo husika.
jaman me kwenye profile yang wameniandikia processing inamaana gan coz nashindwa kujua first na second selection ni ipi