CAS is now open for 2nd round applications only

Laiti ungeielewa hiyo unayoiita psychology hasa kipengele cha philosopher attitude. Usingepata taabu ya kuangaika na Mimi.

Labda uniambie umejiandaa na degree ya CHUPI.

Ushauri : epuka sana kuongozwa na hisia.
Jiandae kwa lolote. Mtangulize MUNGU.
 
kunaTE=NYANYADO;13986583]Laiti ungeielewa hiyo unayoiita psychology hasa kipengele cha philosopher attitude. Usingepata taabu ya kuangaika na Mimi.

Labda uniambie umejiandaa na degree ya CHUPI.

Ushauri : epuka sana kuongozwa na hisia.
Jiandae kwa lolote. Mtangulize MUNGU.[/QUOTE]

Nmeamini kumbe jf kuna wengine ni matahiiiiiraaaaa.
Isitoshe unaeza kua na elimu ya darasa la saba ujui kitu unabishana ujinga.
 
CAS ndo imefungula rasmi sasa ingia fas ujue kama umepata au unafanya 2nd round
 
emb tulizen papara chuo 2naenda baada ya uchaguzi tar 2 november haraka ya nn?
 
Wenye wameambiwa wafanye second round wafanye hima.System ni first come first serve..In no time vyuo vizuri na kozi nzuri zitakuwa zimejaa zote

All the best
 
Kwa waliokosa MD round ya kwanza page ya tcu ime open ila chuo cha MD ni kimoja tu st.joseph soo wahi ujaze kama utapenda only 200 people are required ol the best people_Jah one
 
Kwa waliokosa MD round ya kwanza page ya tcu ime open ila chuo cha MD ni kimoja tu st.joseph soo wahi ujaze kama utapenda only 200 people are required ol the best people_Jah one

Vp kuhusu walokosa engineering mkuu
 
Naombeni msaada jaman
Nimeambiwa nifanye ila nlipocgagua coz imeingia ila capacity imwandika 0 inamaana nimo au natakiwa nichague tena??
 
Naombeni msaada jaman
Nimeambiwa nifanye ila nlipocgagua coz imeingia ila capacity imwandika 0 inamaana nimo au natakiwa nichague tena??

soma tangazo lao vizuri asee..angalia capacity ndio ufanye choice
 
Wewe utakuwa msumbufu sana .siku zote ulipewa nafasi ya kucheza na system. Yenye options tano ukashindwa kuchagua .leo option moja utaweza kuchagua?. Subiri uchaguliwe.

madogo wana mteru sana...
 
Nmeamini kumbe jf kuna wengine ni matahiiiiiraaaaa.
Isitoshe unaeza kua na elimu ya darasa la saba ujui kitu unabishana ujinga.[/QUOTE]

sio makosa yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…