CAS is now open for 2nd round applications only


Kweliii mkuu hata me program siku zionaa aseee
 
System mbona inazingua au wameifunga.

Kazi yako kama mwanafunzi ilikwishaisha. Now ni kazi ya tume.hivyo unapaswa kuwa mvumilivu.. pia tumegundua wanafunzi wengi hamjui lugha. Na pia mna papara nyingi. Nahisi wengi mnasomea ujinga..
Narudi kukujibu swali lako LA system kufungwa. Ni kuwa system haijafungwa rejea tcu.go.tz ipo on.
Walichoamua ni kuzima page inayoitwa cas.TCU.go.Tz/login. Ili kuondoa jam .kazi zingine ziendelee.
 
Sasa mtu anabisha hata taarifa zikizotoka TCU, Watu tumeenda jana tukapewa hizo taarifa.

Wewe utakuwa msumbufu sana .siku zote ulipewa nafasi ya kucheza na system. Yenye options tano ukashindwa kuchagua .leo option moja utaweza kuchagua?. Subiri uchaguliwe.
 
Wadau mbona papara nyingi? Nshasema kila kitu ni kwa wkt wake, kama unaona CAS haifunguki tulia tu, ukifika wkt wake itafunguka utaendelea na michakato!!! Maanaa sasa kila wkt CAS!!!!
 
Wewe utakuwa msumbufu sana .siku zote ulipewa nafasi ya kucheza na system. Yenye options tano ukashindwa kuchagua .leo option moja utaweza kuchagua?. Subiri uchaguliwe.
ahah__ aya mambo acheni tu..!!
 
Yes,mkuu upo sahih kabsa watz wasumbuf na ndomana wameamua kufanya hvyo.
 

So kosa lako unaongea sababu haupo kwenye huu mchakato. As if haukuwah kupitia huko.
Yani unashangaa mwanafunzi kupaniki sababu ya CAS??
kumbuka haya ni maisha yake lazima awaze.
 
Wadau swali ni kuwa,, Km mtu Alichelew kutuma maombi TCU first round ,,,anaweza kutuma maombi second round itakapo anza? Au ni kwa wale tu walio apply wakakosa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…