CAS is now open for 2nd round applications only

Wawapi nyie?toka asubuh profile znonesha ivyo n weng tuu wanataarifa
 
Hakuna tangazo kama hilo kwenye tovuti ya TCU! Nadhani hapa siyo chit chat!
 
Embu chukua screen capture utuekee tuone?
Inawezekana ikawa kweli ! tucmpnge jamaa!
 
Kunajamaa yang amefungua amekuta tangazo aaply upya.na mwisho ni tar 18 september.mi kwangu kumeandikwa procesing.ila hawajaonesha chuo walicho nichagua.
Msada kaka zangu ntakuwa nilikosea wapi wa jameni?? Msaada tafazari
 
sasa mi mbona nimeingia lakini cjaona taarifa yoyote kwenye profile langu
 
jamani msaada wakuu mi nikiingia TCU CA's kwenye kulog in naambiwa log in failed ila namb n password viko sahihi,tatizo mini wakuu anaefahamu
 
Kunajamaa yang amefungua amekuta tangazo aaply upya.na mwisho ni tar 18 september.mi kwangu kumeandikwa procesing.ila hawajaonesha chuo walicho nichagua.
Msada kaka zangu ntakuwa nilikosea wapi wa jameni?? Msaada tafazari

hiyo PROCESSING imeandikwa wapi labda?
 
jamani msaada wakuu mi nikiingia TCU CA's kwenye kulog in naambiwa log in failed ila namb n password viko sahihi,tatizo mini wakuu anaefahamu

itakuwa kuna kitu unachanganya tu, labda heruf ndogo/kubwa, au unaweka dot kwenye number ya shule, haitakiwi
 
Wakuu mbona haijabadilika chochote???
What does this mean?
 
Back
Top Bottom