Cartoon Yangu ya Leo.

kadoda11

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
21,453
20,712
Watch,Think then say Something.....
189354_448059875236914_228948906_n.jpg
 
Ohooooooooooooooooooo watakuja kuzidump huku kwetu aiseee!!!!
 
Ohooooooooooooooooooo watakuja kuzidump huku kwetu aiseee!!!!
nasikia eti wale wajanja wao mjini pale River Road(nairobi)wanabuni mikakati ya kuzirudisha hewani.lakini hata hivyo bongo si zinaruhusiwa ni kama wanakuja kuongeza idadi ya zile zilizopo sokoni
 
Nafikiri inajieleza, this is Nairobi, angalia mazingira ya nje ya duka si ya kibongo. Used cars, pants, medicines etc
 
That's how things goes around nowdays. Every thing's fake everywhere. We've fake marriages, fake politicians, fake pastors, fake votes and voters, fake Presidents and their cabinets, fake foods and drinks, fake investors with fake contracts and so on and so on! Africa will perish even before the coming of Jesus!
 
theme yake kuwa na sisi tupige marufuka simu za kichina lasivyo zilizo kenya zitaishia tz.
 
nasikia eti wale wajanja wao mjini pale River Road(nairobi)wanabuni mikakati ya kuzirudisha hewani.lakini hata hivyo bongo si zinaruhusiwa ni kama wanakuja kuongeza idadi ya zile zilizopo sokoni

ingekua dar watu washarudisha hewan faster bongo kwa kurepair kuna vichwa vya hatar!
 
Yani huyo Bwana anaepiga simu anaitwa NAIROBI, anampigia mheshimiwa flani kwa jina DAR es SALAAM, anamjua mheshimiwa kwa magumashi kwahiyo anauliza hili zigo vipi anaeza chukua? ila mheshimiwa anaweza kataa au kubali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom