Caroline Wozniacki .

Caroline Wozniacki .

Salamander

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
28,545
Reaction score
15,781

7b1f49420e5845e1f3c83ae755fe4e02
 
Aaaaaaghhh!!!!ushaniharibia siku,inabidi nikapate disposable pale temeke fasta nipunguze machungu
 
Upande wa tennis: namkubali, yale mambo mengine, hamna kitu kabisa. Weka ya Serena Williams au ya mwanamke mweusi akiwa na hicho kivazi uone comments. Hawa wazungu hamna kitu.

Ni rafiki mkubwa wa Serena, juzi juzi walikuwa wote ufukweni Miami wakajipiga selfie za hatari wakazitupia instagram ukiziweka hapa mods lazima waziondoe.
 
Upande wa tennis: namkubali, yale mambo mengine, hamna kitu kabisa. Weka ya Serena Williams au ya mwanamke mweusi akiwa na hicho kivazi uone comments. Hawa wazungu hamna kitu.

ume angalia vizuri hiyo picha mkuu?
 
Sasa hapo cha ajabu nini? au cha mzungu ujawai kukiona.....mwezi Jana nilikifaudu sana cha mswedish flani one night stand....baada ya kulewa chakari nilikizoea dakika kadhaa tu....
 
Back
Top Bottom