Embu weka picha tuione hilo tako!
Engine 5A NI DURABLE, POWERFUL, INATUMIA VIZURI FUEL >15KM/LITRE, CV JOINTS ZAKE ZINADUMU MUDA MREFU KULIKO COROLLA, DRIVES 5 IN COMFORT, INASTAHIMILI SHURUBA ZA OFFROAD BILA SHIDA, . MAPUNGUFU; KUPEWA JINA BAYA: MATAKO YA NYANI, INAKARIBIA KUPITWA NA WAKATI-MAANA NI GARI ZA ZAMANI 90S TO EARLY 2000sMsaada kwa anayeijua vizuri hiyo gari, nataka niifahamu ulivyo na engine inayotumia na sifa zake pia ma madhaifu yake kabla cjainunua kwa mtu hapa mbeya
Hii hapa..
Msaada kwa anayeijua vizuri hiyo gari, nataka niifahamu ulivyo na engine inayotumia na sifa zake pia ma madhaifu yake kabla sijainunua kwa mtu hapa Mbeya