Carina bei cheap!!

Carina bei cheap!!

Wana jf,kuna jirani yangu anauza toyota carina si ya mwaka 2000,in dar haijawahi kwenda zaidi ya buguruni tangu imetolewa bandarini mwaka jana december,inatoka mara moja kwa wiki kwa ajili ya shoping tu za nyumbani kwake,it looks like new,engine na body iko fresh kabisa,offer yake 7m,kwa wazoefu wa hizi gari naombeni ushauri kuhusu hiyo bei (is it reasonable au ni expensive sana?)natanguliza shukrani!!

Siku ingine unapotaka kununua gari hakikisha unapata full specfication za hiyo gari, ikiwezekana picha zake kama nyongeza. Then wafuate wataalamu wa magari wakupe faida na hasara ili uchukue maamuzi ya akili yako mwenyewe. Humu JF baadhi ya watu watakuchanganya hata wasio na utaalamu nao watakushauri ilmradi ameongeza count ya post zake kama JF member. They'r not serious the time u'r serious!
 
Hii nzuri saaaana
 
Chukua hiyo gari kama umeipenda carina si sio mbaya kama sikosei nadhani itakuwa cc1800 7A swala la spare usiogope zipo nyingi sana mtaa wa shauri moyo Engine

Back
Top Bottom