Fumbokhan
Member
- Jan 16, 2021
- 6
- 20
Caren Simba ambaye ni mzazi mwenzie Baraka The Prince afunguka:
"Mimi na Barakah tumekuwa kwa muda mrefu ila aliyekuwa anajulikana ni Naj, wakati yeye yupo na Naj mimi nilikuwa na ujauzito wake na tukaachana kwa sababu ya huyo Naj, sikuwa mchepuko bali ni mwanamke wake kabisa, hatukuwa tayari kuweka mahusiano yetu wazi hivyo Naj ndio akatumia hiyo nafasi" amesema Caren Simba
Caren Simba ameongeza kuwa kwasasa yeye na Barakah The Prince wana uhusiano wa kawaida kama mzazi mwenzie pia anamsaidia kutoa ushirikiano kwenye upande wa malezi ya mtoto wao ila sio wapenzi tena.