Card yangu ya CRDB imemezwa hata sijui nifanyeje

Card yangu ya CRDB imemezwa hata sijui nifanyeje

Nimejiuliza maswali mengi wacha nipite tuu hela yangu hata nikisahau kadi nikiwa na kitambulisho chochote natoa hela labda ziwe nyingi ambazo utaona wanahangaika kupiga simu ulikofungulia account au tawi unalotumia mara kwa mara kuweka hela....maelezo ya card kumezwa au chochote yapo kwenye atm zao zote inashangaza kusema umefika bank hujapata huduma na tawi gani hilo hawana hata generator ya umeme pindi ukikatika CRDB Bank...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom