Caravan inahitajika!

Caravan inahitajika!

nickson1987

Senior Member
Joined
Aug 16, 2011
Posts
191
Reaction score
24
Mwenye caravan Nina tenda ya watoto WA olympio nataka niwe namlipa kwa wiki 250,000/= lakini naomba iwe gari liwe automatic mi nipo Dar nipigie 0714064767
 
Kwani hili lina matatizo gani?

attachment.php
 
Attachments

  • olympio.jpg
    olympio.jpg
    51 KB · Views: 192
Mwenye caravan Nina tenda ya watoto WA olympio nataka niwe namlipa kwa wiki 250,000/= lakini naomba iwe gari liwe automatic mi nipo Dar nipigie 0714064767

dah mi nkajua Caravan ndege bwana, nlitaka nikupe 206 or 208b yangu
 
Unataka kubwa au ndogo?
.Maana kuna mfano wa hiace na nyingine kubwa kama coaster.

Asante kwa kunielewa otherwise nahitaji caravan hiace maana wazazi wengine wanahitaji watoto wao wapelekwe shule sio kurundikwa mwenye nalo tuwasiliane
 
Unajua kuna watu wanafanya utani wakati this is a deal na jamaa ameamua kuweka humu ili mwenye nalo aamue kama ampe au la.
Kuna huyu amesema Caravan ndege duh,hahahaha ndege mpaka posta

Mie ninayo yangu huku ila nataka kujua aina ya mkataba,
-Mkataba usiwe chini ya mwaka
-Dhamana ya anae kodi gari ni nini

Hembu mwaga mambo happo niangalie kama naweza kuingia hapo
 
tunaingia mkataba WA mwaka mmoja ILA malipo nakupa siku ya jumamosi ambayo Ni 250,000/= ILA bosi anaweka kwa siku ya kwanza kama kianzio cha mafuta, na kuhusu mi natoa kitambulisho changu na wewe cha kwako kuandaa mkataba hata kesho naweza kufanya haraka iwezekanavyo ili hii tenda nisije nikanyimwa
 
Duh,hii kali kweli.
Yaani Dhamana Kitambulisho tu tena hivi vya siku hizi vya leo kesho vya Digital?
Gari ikiibiwa,mpaka nikupate ni leo?
Tafuta mtu mwenye kuweka Dhamana ya Nyumba yenye hati na thamani si chini ya 20m,wiki ijayo nikuletee mwanasheria wangu m sign nikupe gari
 
Kaka nipigie 0714064767 tufanye kazi tenda ninayo kaka au
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom