Pole sana mkuuJf ya siku hizi imekuwa ya kindezi sana.
Hii topic Angeileta username maarufu humu au demu, watu wangechangia sana tu na kutoa maoni.
Funga alarm inaitwa "Auto watch" ina hizo feature unazotaka.Wakuu na wataalaamu wa mifumo ya ulinzi wa magari, title yajieleza.
Nahitaji kufunga ''Alarm System''. Pia nahitaji kufunga "Kill Switch" ili kuongeza security levels kwenye gari.
Kill Switch ambayo inazuia kabisa gari kuwaka.
Je, kuna mfumo ambao ni Two in One, yaani alarm + kill switch?
If yes, brand ipi ni the best kwasasa?
Funga alarm inaitwa "Auto watch" ina hizo feature unazotaka.