Car for sale

Car for sale

Disuma

Member
Joined
May 23, 2014
Posts
62
Reaction score
19
Gx110
White
2001
Cc 1980(6 cylinders)
173,000km
Very Good fuel consumption
15 milion comprehensive insurance
(Valid mpaka May 2015)
Very clean and well maintained car
Regular services (Ontime)
Sports Rimz
7.5 milion only
Call or watsapp 0716631317 (owner)
 

Attachments

  • 1406090546495.jpg
    1406090546495.jpg
    49.8 KB · Views: 672
  • 1406090604876.jpg
    1406090604876.jpg
    66 KB · Views: 611
  • 1406090769962.jpg
    1406090769962.jpg
    30.3 KB · Views: 549
  • 1406090821493.jpg
    1406090821493.jpg
    55.7 KB · Views: 525
  • 1406090834690.jpg
    1406090834690.jpg
    43.7 KB · Views: 504
  • 1406090869109.jpg
    1406090869109.jpg
    76.5 KB · Views: 499
  • 1406090884750.jpg
    1406090884750.jpg
    65.9 KB · Views: 499
  • 1406090948647.jpg
    1406090948647.jpg
    71.1 KB · Views: 512
15 mil?
173,000 km?
cc 2000 almost
BHS?
Daaaaah.......
Enewei..........
 
6m inalipa najua nimetamka bei ndogo ila nauliza tu kama inalipa nije kuchukua coz ndio hela niliyokuwa nayo
 
Mkuu umeelewa lakini 15million ni kitu gani? Bei yake umeambiwa ni 7.5million.

Ndugu mleta hoja,gari hizi tatizo lake kubwa hasa huwa ni nini?

Tatizo kubwa ni hazitaki mafuta machafu kaka...puma, total, engen, gapco ndio sheli ambazo ziko recommended kwa gari hizi.........
 
Naona hujaelewa somo. Ameiwekea bima ya 15million, gari yenyewe anaiuza 7.5 million. Soma tena

Bima ya 15m ni security kwa wewe mtumiaji incase kama ikitokea ajali, wizi wa gari mmiliki anabenefit alot....
Na pesa hiyo ndiyo nliyokuwa nalipia tangu niliponunua gari so sikuona sababu ya kuipunguza.
 
Bima ya 15m ni security kwa wewe mtumiaji incase kama ikitokea ajali, wizi wa gari mmiliki anabenefit alot....
Na pesa hiyo ndiyo nliyokuwa nalipia tangu niliponunua gari so sikuona sababu ya kuipunguza.

Hivi bima huwa inahama ukiuza gari? Au itabidi atumie kwa jina lako hadi may 2015?
 
Back
Top Bottom