Car for sale

Car for sale

Ni kweli bima haihamishiki ila hapa mjini kunanjia mbadala za kutatua matatizo kama haya...so we can always sort this out
 
Kama hiyo Bima inakubalika katika mazingira haya ya kuuza, kuna mtu atainunua hiyo gari na kwenda kuidumbukiza mtoni au kuichoma kisha akachukue 15m zake, faida almost 100%
 
Kama hiyo Bima inakubalika katika mazingira haya ya kuuza, kuna mtu atainunua hiyo gari na kwenda kuidumbukiza mtoni au kuichoma kisha akachukue 15m zake, faida almost 100%

hizi ndizo akili za mjini sio?
 
  • Thanks
Reactions: amu
Kama hiyo Bima inakubalika katika mazingira haya ya kuuza, kuna mtu atainunua hiyo gari na kwenda kuidumbukiza mtoni au kuichoma kisha akachukue 15m zake, faida almost 100%

Huyo jamaa si mkweli. Kwanza kama ni hivyo kwa nini yeye mwenyewe asifanye hayo makanyanga aingize mtaroni ili alipwe hiyo 15m aachane na hiyo 7.5 mil?
Akishaiuza hiyo gari kumbuka kama mnunuzi ataamua ku maintain the same insurance cover, that means hatabadilisha reg card into his name, therefore the car will be in as the same ownership of the seller if at all he wants to enjoy the benefits of the cover.
When you sell a car you are supposed to change the ownership. Once you change the ownership the cover also has to be changed. Usikubali kabisa kuuziwa gazi ukakurupuka kubadili reg card ukaacha insurance cover. Insurance hawatakulipa gari ikipata tatizo. Its simple logic. Gari ya Hamis Mchambawima ila bima kakatia Mwajuma Mtoachema. Kwenye insurance hakunaga hicho kitu. Lazima A na B viwe sawa. Matola soma hapa utaelewa
Ukiingizwa mjini umeamua mwenyewe ila fatilia mwenyewe utajua.

CC: LBG
Need I say more?
 
Last edited by a moderator:
Bima ya 15m ni security kwa wewe mtumiaji incase kama ikitokea ajali, wizi wa gari mmiliki anabenefit alot....
Na pesa hiyo ndiyo nliyokuwa nalipia tangu niliponunua gari so sikuona sababu ya kuipunguza.
Idimi, Mnyamwezi wa Urambo nimeelewa mnachosema. Ila Disuma nadhani anataka kuwaingiza chaka.
Bima haihamishwi kutoka one owner to another with the same property walio exchange ownership. Ukishabadilisha ownership unabadilisha cover pia.
 
Last edited by a moderator:
hahaha hapo ulikuwa hujaelewa braza.
Eid poa, nna mialiko kama mitatu hivi hapa nshakunywa dawa ya kuswafi tumbo. Labda unialike iddi pili
Ha ha ha ha.
Hutakiwi kuwekak komenti nyiingiiiii ukiwa unaelewa. King'asti upo?
Eid vipi sasa jamani?
 
Linatembea? Ni kwa nini linaonekana kama halijalipiwa road licence toka ilipoisha 12 May 2014? Au kwa vile lipo "sokoni"?
 
hahaha hapo ulikuwa hujaelewa braza.
Eid poa, nna mialiko kama mitatu hivi hapa nshakunywa dawa ya kuswafi tumbo. Labda unialike iddi pili

Basi tufanye weekend hii kwa kuwa Idd pili nilikuwa safarini.
Au wasemaje?
 
Back
Top Bottom