Luca Paguro
JF-Expert Member
- Mar 26, 2023
- 498
- 1,123
Yani Samia na watoto wake wote akili kisoda, Yan Wanu anatoa ahadi ya kununua mashine ya kuchimba makaburi kweli!?"Tumeanza kuona mwenendo na mtiririko wa viumbe wakiwa wanakuja mitandaoni na kuandaa maudhui ya kuvuruga amani yetu"
"Captain Tesha anajaribu kuleta nywinywi, na nywinywinywi"
"Anataka tufuate katiba, kwa nini tufuate katiba? Katiba ni kitabu tu"
"Eti analalamika kuwa tunaua wakosoaji. Ni mara ngapi niwaambie kuwa "Kifo ni kifo tu, msilete taharuki mitandaoni ππ"
Hapo Bi Chura anatafuta maneno ya kumchamba Tesha ila atapata tabu sana yeye na genge lake
Nasemaje, hata kama JWTZ limekataa kuchukua nchi, October 29 kitaeleweka. Tutaandamana mpaka pale Bi Chura atakapojiuzulu. Anaharibu nchi yetu huyu mama na genge lake akina Kikwete, Rostam na Abduli"
Yawezekana hata JWTZ kwenye uongozi kuna machawa wa CCM, ila huu mwaka hamtashinda.
Samia ajiuzulu, Tesha awe Rais π
Hahahahahahahahnywinywi, na nywinywinywi"
Nimesema tu, ila point yangu ni kuwa nchi apewe mwingineNchi apewe tesha?
Jeshi likifanya hivyo litakuwa limefanya cha maana sana. Mungu awafungue akili wanajeshi walikomboe taifa letu wakishirikiana nasi πWatachukua nchi wanajeshi kuwa na subira hata wasipoandamana watu hata isiwe mwaka huu lakini soon tu nchi inapinduliwa anayebisha aseme nione wa kuzuia hili.
Hata ahadi zake ni kama ni kwa ajili ya show off tu. Eti wanataka kujenga barabara za mzunguko Tabora na Tabora hata hakuna msongamanoYani Samia na watoto wake wote akili kisoda, Yan Wanu anatoa ahadi ya kununua mashine ya kuchimba makaburi kweli!?
Hamna mtu mwenye akili timamu anaweza kuendelea kufagilia kuongozwa na familia ya vichaa kama Ile.
Hamna mtu mwenye akili timamu anaweza kuvumilia ujinga wa mtu kama yule, ni kichaa tu atafurahia hizo ahadi uchwara za kwenye "shopping list"Hata ahadi zake ni kama ni kwa ajili ya show off tu. Eti wanataka kujenga barabara za mzunguko Tabora na Tabora hata hakuna msongamano
Wanataka kujenga kiwanja Msoga, kwa sababu tu ya Kikwete
Shida kuu ya Tanzania ni umasikini, lakini viongozi wanaipuuzia. Wao ni ujenzi wa viwanja tu. Hata huduma za kijamii tu bado ni shida hadi leo. Samia hana akili kabisa
Dah hii mkuu inabidi uiwekee tags za <sarcasm> </sarcasm>"Tumeanza kuona mwenendo na mtiririko wa viumbe wakiwa wanakuja mitandaoni na kuandaa maudhui ya kuvuruga amani yetu"
"Captain Tesha anajaribu kuleta nywinywi, na nywinywinywi"
"Anataka tufuate katiba, kwa nini tufuate katiba? Katiba ni kitabu tu"
"Eti analalamika kuwa tunaua wakosoaji. Ni mara ngapi niwaambie kuwa "Kifo ni kifo tu, msilete taharuki mitandaoni ππ"
Hapo Bi Chura anatafuta maneno ya kumchamba Tesha ila atapata tabu sana yeye na genge lake
Nasemaje, hata kama JWTZ limekataa kuchukua nchi, October 29 kitaeleweka. Tutaandamana mpaka pale Bi Chura atakapojiuzulu. Anaharibu nchi yetu huyu mama na genge lake akina Kikwete, Rostam na Abduli"
Yawezekana hata JWTZ kwenye uongozi kuna machawa wa CCM, ila huu mwaka hamtashinda.
Samia ajiuzulu, Tesha awe Rais π
Niamini mimi hiki kitu nimekaa nacho muda sema nlishindwa kuweka wazi maana waswahili kuamini mpaka waone.Nchi hii itapinduliwa hata sio lazima mwaka huu ila ni kwamba hili jambo litatokea na liko nje ya uwezo wa binadamu.Jeshi likifanya hivyo litakuwa limefanya cha maana sana. Mungu awafungue akili wanajeshi walikomboe taifa letu wakishirikiana nasi π
wanajeshi watapinduaje nchi wakati hawachukizwi na yanayotokea nchini? Unaambiwa huyo capitaine tesha ni wa mchongo, ni kanjanja si mwanajeshi!Watachukua nchi wanajeshi kuwa na subira hata wasipoandamana watu hata isiwe mwaka huu lakini soon tu nchi inapinduliwa anayebisha aseme nione wa kuzuia hili.
Ame chill mahali muda huu anatabasamu tuu"Tumeanza kuona mwenendo na mtiririko wa viumbe wakiwa wanakuja mitandaoni na kuandaa maudhui ya kuvuruga amani yetu"
"Captain Tesha anajaribu kuleta nywinywi, na nywinywinywi"
"Anataka tufuate katiba, kwa nini tufuate katiba? Katiba ni kitabu tu"
"Eti analalamika kuwa tunaua wakosoaji. Ni mara ngapi niwaambie kuwa "Kifo ni kifo tu, msilete taharuki mitandaoni ππ"
Hapo Bi Chura anatafuta maneno ya kumchamba Tesha ila atapata tabu sana yeye na genge lake
Nasemaje, hata kama JWTZ limekataa kuchukua nchi, October 29 kitaeleweka. Tutaandamana mpaka pale Bi Chura atakapojiuzulu. Anaharibu nchi yetu huyu mama na genge lake akina Kikwete, Rostam na Abduli"
Yawezekana hata JWTZ kwenye uongozi kuna machawa wa CCM, ila huu mwaka hamtashinda.
Samia ajiuzulu, Tesha awe Rais π
Leo RATIBA inasomeka wapiMitaani hakuna taharuki, kampeni zinaendelea kama kawaidg. Wananchi hawajui capitaine tesha kasema nini mitandaoni licha ya kuwa wengi wao sasa wanamiliki simu kubwa ila hawaingii mitandaoni. Watu wa mitandaoni ndio wanajua kuna taharuki, capitaine tesha kaongea mazito