Hivi mnazungumzia komba mnyama au ni yupi? Niwekeni sawa tafadhali
Muda mchache ulopita, nimemsikia captain Komba akichangia katika mjadala unaoendelea wa BMK, alichokifanya ni kumshambulia mwenyekiti wa iliyokuwa kamati ya tume ya mabadiliko ya Katiba, mbaya zaidi anai quote hukumu iliyotolewa juzi na mahakama kuu ya DSM, eti mahakama imesema wanachokifanya ni halali.
Binafsi napata taabu kuhusu uelewa na interest za baadhi ya watu wanaotuandikia Katiba pendekezwa.
Karibu tujadili.
muda mchache ulopita, nimemsikia captain komba akichangia katika mjadala unaoendelea wa bmk, alichokifanya ni kumshambulia mwenyekiti wa iliyokuwa kamati ya tume ya mabadiliko ya katiba, mbaya zaidi anai quote hukumu iliyotolewa juzi na mahakama kuu ya dsm, eti mahakama imesema wanachokifanya ni halali.
Binafsi napata taabu kuhusu uelewa na interest za baadhi ya watu wanaotuandikia katiba pendekezwa.
Karibu tujadili.
Muda mchache ulopita, nimemsikia captain Komba akichangia katika mjadala unaoendelea wa BMK, alichokifanya ni kumshambulia mwenyekiti wa iliyokuwa kamati ya tume ya mabadiliko ya Katiba, mbaya zaidi anai quote hukumu iliyotolewa juzi na mahakama kuu ya DSM, eti mahakama imesema wanachokifanya ni halali.
Binafsi napata taabu kuhusu uelewa na interest za baadhi ya watu wanaotuandikia Katiba pendekezwa.
Karibu tujadili.
anafikiri kwa kutumia kalio.