MANGUNGO JF-Expert Member Aug 30, 2011 1,536 352 Mar 27, 2012 #1 Arumeru tangu kampeni huyu mzee wa mipasho simuoni hata kumsikia!mzima kweli!hemu wana JF tujulishane aliko!sio kawaida!
Arumeru tangu kampeni huyu mzee wa mipasho simuoni hata kumsikia!mzima kweli!hemu wana JF tujulishane aliko!sio kawaida!
King Kong III JF-Expert Member Oct 15, 2010 51,685 68,671 Mar 27, 2012 #2 Chief mangungo si anumwa miguu huyo mtu? Presha inapanda pressure inashuka!!
GIB JF-Expert Member Mar 2, 2012 336 92 Mar 27, 2012 #3 nimemuona kama mara mbili hivi na magongo yake sijui naye kavunjwa mguu na mke wake?
M mashambani kwao JF-Expert Member Dec 5, 2011 370 56 Mar 27, 2012 #4 yupo Arumeru hana mpango na jimbo lake la mbinga magharibi.
M mashambani kwao JF-Expert Member Dec 5, 2011 370 56 Mar 27, 2012 #5 yupo Arumeru hana mpango na jimbo lake la mbinga magharib,halafu ameitwa na kaka yake stivin wasira..
yupo Arumeru hana mpango na jimbo lake la mbinga magharib,halafu ameitwa na kaka yake stivin wasira..
Jackbauer JF-Expert Member Oct 28, 2010 6,038 2,199 Mar 27, 2012 #7 lori la tot limekuwa mzigo arumeru.linazomewa kila linapopita.
Sema Chilo JF-Expert Member Mar 24, 2012 324 24 Mar 28, 2012 #8 Jackbauer said: lori la tot limekuwa mzigo arumeru.linazomewa kila linapopita. Click to expand... Yupo huku meru anatukana tu chama chenye akili
Jackbauer said: lori la tot limekuwa mzigo arumeru.linazomewa kila linapopita. Click to expand... Yupo huku meru anatukana tu chama chenye akili
K Kidogo chetu JF-Expert Member Nov 27, 2009 1,432 992 Mar 28, 2012 #9 mbona mnamtafuta komba mnataka kuolewa nae
THE BIG SHOW JF-Expert Member Feb 28, 2012 16,365 12,823 Mar 28, 2012 #10 tunataka kumuoa yeye,,chama chake si tayari kishahalalisha huu mpango wa waziri mkuu wa uingereza??
B Bobuk JF-Expert Member Oct 8, 2010 5,870 3,270 Mar 28, 2012 #11 Yuko bize anatunga nyimbo za kumuimbia Sioi tarehe mosi April!