Capital Gain Tax ni nini?

Capital Gain Tax ni nini?

Ardhi Haina Loss lakini.. land will always appreciate. Sasa sijui loss ya hapa unaifafanuaje mkuu.

Ardhi Ni mtaji.. na kwa mujibu sheria Ardhi..inajumuisha kipande cha Ardhi na maendelezo permanent yaliyo juu yake.

Capital Gain inatokana mtaji (capital) na sio faida ... Ni Kodi ya ongezeko la mtaji. Sio Kodi ya faida tokanayo na mtaji..

Nimesema kama nilivyoelewa ..na huanda kukawa na maelezo mengine ..lakini haya niliyofikisha ni kutokana kuuliza huku na kule.

Kikubwa nakukumbusha tu.. Thamani sio lazima ilingane na bei. Bei ni makubaliano ya muuzaji na mnunuzi.. ila thamani it's independent of personal preferences.

Mfano Mimi naweza kuwa na dhahabu ambayo thamani yake Ni milion 200 lakini nikawa tayari kuiuza kwa milion 10 kwasababu ninauguliwa na mtoto na milion kumi ndio inayosimama Kati ya uhai wake na kifo..

Hapo haimaanishi thamani ya dhahabu yangu imeshuka hapana.. ila bei tu ndio imeshuka. Sasa hauwezi kujenga mfumo wa Kodi juu ya unstable platform. Na kwa scenario hii ya Ardhi it's only fair to base the tax on value.

Sote tunajifunza mkuu.. speak your mind.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app

ww umeuliza "huku na kule" lakn LadyRed kanukuu vifungu vya sheria za kodi. mpaka hapa unahisi upo sahh?
 
ww umeuliza "huku na kule" lakn LadyRed kanukuu vifungu vya sheria za kodi. mpaka hapa unahisi upo sahh?
Najifunza tu.. mie sio mtu wa Kodi. Na Kama alivyosema kifungu hakikusema namna inavyokadiriwa kodi hii.. so her guess was as good as mine.. unless hukuona hiyo part..

Since you are here.. Assumably, unao usahihi (at least your version) ...ungeshare tupanue uelewa Kiongozi.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Najifunza tu.. mie sio mtu wa Kodi. Na Kama alivyosema kifungu hakikusema namna inavyokadiriwa kodi hii.. so her guess was as good as mine.. unless hukuona hiyo part..

Since you are here.. Assumably, unao usahihi (at least your version) ...ungeshare tupanue uelewa Kiongozi.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app

ok.sawa tupo pamoja. naona yy yupo sahh zaid yako bro.
 
Ni Kweli. Na bado Kuna hii void ya namna ya kuikadiria Kodi.. (mjadala upo hapo) ambao umejibiwa na bwana mmoja hapo juu.. japo haielezi kwann mtoa Mada amekadiriwa kulipa 13.4m

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
hz calculator za TRA cjawahi zielewa. nadhan kama kuna mtu ashawahi kuagiza gari kutoka nje ashakutana zle kodi za TRA pale bandarini
 
Jesus!whichever is greater aisee..why not the actual selling price..huwezi komaa nao on the base ya kiasi ulichopata tu?.

in this case kashauza kwa 80Million.,haki iko wapi?.

like for instance nieleweshe zaidi pls
What if akiweza kuprove the cost of that asset ni kubwa kuliko hata bei waliyouzia si atasave TRA wasimpige hio kodi au how does it work?
Nmepreview ITA Sec 36 kwenda mbele kidogo i see obviously mtu unaweza u'kawa na loss/gain

Ukiweza kuprove loss/cost kubwa kuliko gain then hakuna gain, which means transaction hiyo haina kodi. Swali la msingi je utaweza kuprove costs hizo na Je zitakubalika?
 
Back
Top Bottom