Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,343
- 33,487
Kwahiyo kwa ufupi hapo anataka kufanyiwa abdacadabra?Gharama zote za ujenzi ndio cost ya nyumba.

Abdacadabra ndio nini mkuu?Kwahiyo kwa ufupi hapo anataka kufanyiwa abdacadabra?
Mauza uzaAbdacadabra ndio nini mkuu?
Capital gain ni tofauti kati ya bei ya kuuzia au bei ya soko na gharama uliyotumia kwenye hiyo mali yako. Mfano kama hiyo nyumba ilikugharimu TZS 60 million na una vielelezo, Kodi ya ongezeko la mtaji ni (TZS 134-TZS60) X 10% =TZS 7.4 millionBaba yangu ameuza nyumba hapa Musoma mjini kwa sh mil 80. Nyumba ilikua na hati na vizuri na amenipa jukumu la kukamilisha zoezi la uuzaji na kuhakikisha mnunuzi anamaliza process zake vizuri.
Tuliyemuuzia akataka kufanya transfer kwenda kwenye jina lake.
Halmashauri wakatuomba kitu kinaitwa evaluation ambapo wakathaminisha nyumba na kusema ina thamani ya Mil 134.
Nyumba ina mwaka kama mmoja toka iishe.
Sasa baada ya kumalizana na hamashauri, wananiambia niliyemuuzia haweza kubadili jina kama sijalipa Capital Gain Tax.
Baada ya kupeleka docs TRA , wananiambia capital gain Tax ni 10% ya market value ambapo kwa mimi ni 10% ya mil 134 sawa na Mil 13.
Wakuu hapa nimechanganyikiwa naona kama naibiwa au wanajitisha nitoe rushwa.
Nimejaribu kugoogle napata maana nyingine hata kwa Tanzania na hakuna online calculator kwa Tanzania kujua nahitaji kulipa kiasi gani.
Wakuu Capital Gain Tax ni nini?
Mbona ni kubwa kiasi hiki? Ni afadhali tusingeuza nyumba. Tuibakize iwe ya urithi?
Haya ndio maelezo sahihi.Hapana sio hivyo mkuu. Capital gain ni 10% ya net profit. Kwa mfano gharama halisi ya kununua nyumba ni 3,000,000 halafu ikauzwa kwa 4,000,000, faida yake ni 1,000,000. Capital gaini ni 1,000,000×10% = 100,000.
Haya ndio maelezo sahihi.
(1)....CGT hulipwa na muuzaji (mmiliki wa awali) wa property. Kinacholeta ukakasi hapa ni definition ya bei ya soko (market value). Nijuavyo mimi, bei ya soko, kwa case hii, ni Tzs 80m/-. Hiyo thamani ya valuer ni book value ambayo hapaswi kuwa base ya charge ya CGT.
(2).... kwa hiyo, calculation (proper) ya CGT ilitakiwa iwe Tzs 80m/- (market value) kutoa (thamani ya kiwanja/bei ya kiwanja kiliponunuliwa [+]; gharama za vifaa vya ujenzi vilivyotumika kujenga nyumba husika[+]; gharama za ufundi na muda wa usimamizi[+]; na gharama nyingine, mfano, kama kuna mwanafamilia alilazimika kuacha/kupoteza mapato fulani ili apate muda wa kusimamia ujenzi wa nyumba husika).
3..... kama tofauti kati ya (1) na (2) ni K (positive), basi CGT inakuwa .....K/Tzs. 80m/*10% .
Vinginevyo kilichofanyika hapo TRA Mara/Musoma ni wizi mtupu
TRA siku zote ni waonevu, mfano mtu unapanga fremu halafu eti ukienda kuomba TIN wanakuambia ulipe withholding tax ya kodi ya nyumba akati hiyo angepaswa kulipa mwenyenyumbaUkiangalia kwenye website ya TRA wanasema capital gain ni faida ambayo mwuzaji ameipata.
Kwa hiyo kwa uelewa wangu kama.market value ni kubwa kuliko pesa nilitopolea kwa mauzo maana yake sikutakiwa kulipa.. ni kama nilipata hasara.
Capital gain haiko hivyo kama wengi walivyoelezea.
Capital gain is charged 10% of the whole amount uliyolipwa and not the net profit.
Na pia serikali ina wajibu wa kujiridhisha ili kusitokee udanganyifu kwenye hati za mauziano.
Kama ilivyo kupata gharama halisi ya magari kwa ambao wameishaagiza, inachukuliwa value iliyo juu
Matengenezo wataulizia kibali cha mategenezo na risiti za manunuzii.Mkuu ipo hivi: Kwa mfano ulinunua nyumba kwa 80,000,000 halafu ukaja kuiuza kwa kwa 90,000,000 utapata faida ya 10,000,000. Hivyo capital gain tax ni 10,000,000×10% = 1,000,000. ...Hakikisheni kwenye gharama zenu za kuinunua hiyo nyumba zinakuwa kubwa ili kupunguza faida. Kwa mfano kama mliinunua kwa 80,000,000 lazima kuna gharama zingine mliingia kama vile ukarabati, dalali, etc. Ongezeni hizi gharama kwenye nyumba ili nyumba ionekane iliwacost hela ndefu. Gharama ya ununuzi ikiwa kubwa mtajikuta mmelipa kodi ndogo sana.
Aaaargh ushakosea. Yaani hapo ulitakiwa mkubaliane mnauziana kiwanja tu. Na anaefanya evaluation ya kiwanja unaongea nae aweke pesa ya chini tu hata milioni nane au tano. Hata ukipewa 10% maamamaaae haizidi hata million moja.Baba yangu ameuza nyumba hapa Musoma mjini kwa sh mil 80. Nyumba ilikua na hati na vizuri na amenipa jukumu la kukamilisha zoezi la uuzaji na kuhakikisha mnunuzi anamaliza process zake vizuri.
Tuliyemuuzia akataka kufanya transfer kwenda kwenye jina lake.
Halmashauri wakatuomba kitu kinaitwa evaluation ambapo wakathaminisha nyumba na kusema ina thamani ya Mil 134.
Nyumba ina mwaka kama mmoja toka iishe.
Sasa baada ya kumalizana na hamashauri, wananiambia niliyemuuzia haweza kubadili jina kama sijalipa Capital Gain Tax.
Baada ya kupeleka docs TRA , wananiambia capital gain Tax ni 10% ya market value ambapo kwa mimi ni 10% ya mil 134 sawa na Mil 13.
Wakuu hapa nimechanganyikiwa naona kama naibiwa au wanajitisha nitoe rushwa.
Nimejaribu kugoogle napata maana nyingine hata kwa Tanzania na hakuna online calculator kwa Tanzania kujua nahitaji kulipa kiasi gani.
Wakuu Capital Gain Tax ni nini?
Mbona ni kubwa kiasi hiki? Ni afadhali tusingeuza nyumba. Tuibakize iwe ya urithi?
Baba yangu ameuza nyumba hapa Musoma mjini kwa sh mil 80. Nyumba ilikua na hati na vizuri na amenipa jukumu la kukamilisha zoezi la uuzaji na kuhakikisha mnunuzi anamaliza process zake vizuri.

Do hii mada ni mhim sanaA capital gain refers to profit that results from a sale of a capital asset, such as stock, bond or real estate, where the sale price exceeds the purchase price. The gain is the difference between a higher selling price and a lower purchase price.
Lala nao mbele hiyo definition yao ya capital gain is not accurate but you need to prove to them the total cost of building that house in order to determine the profit from the sale price of 80 millions.
Kumbe pamoja na kuleta vijisred uchwara vya kumtusi JPM kumbe bado ni kinda! TunakusameheBaba yangu ameuza nyumba hapa Musoma mjini kwa sh mil 80. Nyumba ilikua na hati na vizuri na amenipa jukumu la kukamilisha zoezi la uuzaji na kuhakikisha mnunuzi anamaliza process zake vizuri.
Tuliyemuuzia akataka kufanya transfer kwenda kwenye jina lake.
Halmashauri wakatuomba kitu kinaitwa evaluation ambapo wakathaminisha nyumba na kusema ina thamani ya Mil 134.
Nyumba ina mwaka kama mmoja toka iishe.
Sasa baada ya kumalizana na hamashauri, wananiambia niliyemuuzia haweza kubadili jina kama sijalipa Capital Gain Tax.
Baada ya kupeleka docs TRA , wananiambia capital gain Tax ni 10% ya market value ambapo kwa mimi ni 10% ya mil 134 sawa na Mil 13.
Wakuu hapa nimechanganyikiwa naona kama naibiwa au wanajitisha nitoe rushwa.
Nimejaribu kugoogle napata maana nyingine hata kwa Tanzania na hakuna online calculator kwa Tanzania kujua nahitaji kulipa kiasi gani.
Wakuu Capital Gain Tax ni nini?
Mbona ni kubwa kiasi hiki? Ni afadhali tusingeuza nyumba. Tuibakize iwe ya urithi?
Chukua 134m toa gharama za kujengea hio nyumba, then 10% ya kile kinachosalia ndio capital gain tax, otherwise wanakuibia
Mstari wa mwisho ndio penyewe hapoAaaargh ushakosea. Yaani hapo ulitakiwa mkubaliane mnauziana kiwanja tu. Na anaefanya evaluation ya kiwanja unaongea nae aweke pesa ya chini tu hata milioni nane au tano. Hata ukipewa 10% maamamaaae haizidi hata million moja.
Sema kiwanja kisiende kutembelewa sasa wakati wa hizo sarakasi zenu za evaluation ya kiwanja.
Hayo masuala ya hiyo nyumba si ni kwamba mtu kajenga soon after kununua.
Hujachelewa lkn.
Ubarikiwe...Capital gain ni mojawapo ya income tax. Kodi hii hutozwa kwa mtu ambaye amegain faida baada ya kudispose asset yake ie property, share, bonds,au stock.
Sheria ya kodi inatumia neno “ realisation of asset” badala ya neno capital gain.
Kodi hii huchajiwa kwa kuchukua amount ya mkataba wa mauziano au valuation REport whichever is greater. Mkuu valuation Report ya nyumba yako ni 134M na rate ya kodi hapo ni 10% ambayo italeta 13M.
Lakini ukokotoaji wa percent unajumuisha expenditures ulizotumia kwenye kupata nyumba hiyo. Hivyo basi TRA watatoa hizo expenses kutoka kwenye hiyo 134M.
Let say costs ulizotumia kumantain hiyo nyumba ni 90M hivyo gain itakuwa 134M-90M.Hivyo gain ni 44M ambapo 10% yake ni 4M