Capital gains income is calculated as follows: - Value of consideration received or accruing as a result of the realisation of the interest in land or buildings less cost of acquisition less expenditure incurred on any improvement to the asset less expenditure incurred wholly and exclusively in connection with the realisation.
Capital gain tax inatozwa kutoka kwenye capital gain income.
Capital gain income unaipata kwa kuchukua hela uliopokea ukiuza nyumba au ardhi unatoa ile garama ya kununulia au kujenga unatoa garama ulizotumia kuboresha hiyo nyumba au ardhi unatoa na garama zingine zilizohusiana moja kwa moja na kuuza nyumba au ardhi.
Kwa case yako unatakiwa uchukue hyo mil 80 na kitu uliyopokea unatoa garama ulizotumia kununua ardhi mpka kujenga nyumba na kukamilika unatoa tena garama ulizotumia kuiboresha hiyo nyumba na ardhi yake mpka imefikia kuuzika unatoa na garama nyingine zinazoendana moja kwa moja na hyo nyumba pamoja na ardhi yake. Faida unayopata hapo Ndio inayotozwa kodi ya asilimia 10 capita gain tax.