uhurumoja JF-Expert Member Joined Mar 2, 2014 Posts 12,027 Reaction score 28,589 Feb 5, 2024 Thread starter #41 raraa reree said: Muingereza kwa miaka ambayo amekaa hapa kabla ya uhuru angekuwa mreno kungekuwa na machotara kibao Click to expand... Mchoyo sana wa mbegu mjinga yule
raraa reree said: Muingereza kwa miaka ambayo amekaa hapa kabla ya uhuru angekuwa mreno kungekuwa na machotara kibao Click to expand... Mchoyo sana wa mbegu mjinga yule
uhurumoja JF-Expert Member Joined Mar 2, 2014 Posts 12,027 Reaction score 28,589 Feb 5, 2024 Thread starter #42 mjingamimi said: Africa bahati mbaya wale. Wale wanaweza kukataa kuwa afrika na wakaelewwka ila sio wale wabaguzi morroco.wapo ndani kabisa ya afrika Click to expand... Hii ndio nchi imetoka na Kila mtu hana furaha
mjingamimi said: Africa bahati mbaya wale. Wale wanaweza kukataa kuwa afrika na wakaelewwka ila sio wale wabaguzi morroco.wapo ndani kabisa ya afrika Click to expand... Hii ndio nchi imetoka na Kila mtu hana furaha
uhurumoja JF-Expert Member Joined Mar 2, 2014 Posts 12,027 Reaction score 28,589 Feb 5, 2024 Thread starter #43 uhurumoja said: JioneeView attachment 2894340 Click to expand... Na hapa ndio ana huzuni imagine akifurahi
uhurumoja said: JioneeView attachment 2894340 Click to expand... Na hapa ndio ana huzuni imagine akifurahi
jmushi1 Platinum Member Joined Nov 2, 2007 Posts 26,580 Reaction score 25,882 Feb 5, 2024 #44 Mbona huku kwetu wambulu/wairaki na warangi wako hivyo hivyo tu. Hata Tabora kule wanyamwezi nk. Tutakapoandaa AFCON waletwe kwa wingi na wao watangaze nchi 😀
Mbona huku kwetu wambulu/wairaki na warangi wako hivyo hivyo tu. Hata Tabora kule wanyamwezi nk. Tutakapoandaa AFCON waletwe kwa wingi na wao watangaze nchi 😀
M Mzee wa kupambania JF-Expert Member Joined Aug 14, 2022 Posts 21,767 Reaction score 54,912 Feb 5, 2024 #45 uhurumoja said: Brother dunia gani tena Afcon mda wote wameitwa Cabo Click to expand... Sisi tunaotumia Cape vipi? Naona mod wameedit kutoka Cabo kwenda Cape
uhurumoja said: Brother dunia gani tena Afcon mda wote wameitwa Cabo Click to expand... Sisi tunaotumia Cape vipi? Naona mod wameedit kutoka Cabo kwenda Cape
uhurumoja JF-Expert Member Joined Mar 2, 2014 Posts 12,027 Reaction score 28,589 Feb 5, 2024 Thread starter #46 jmushi1 said: Mbona huku kwetu wambulu/wairaki na warangi wako hivyo hivyo tu. Hata Tabora kule wanyamwezi nk. Tutakapoandaa AFCON waletwe kwa wingi na wao watangaze nchi [emoji3] Click to expand... Sikatai ila Cabo Verde ni level aisee we ngoja Afcon 2027 na tunataka kituo Chao kiwe dar wasipelekwe Kenya Wala Zenji
jmushi1 said: Mbona huku kwetu wambulu/wairaki na warangi wako hivyo hivyo tu. Hata Tabora kule wanyamwezi nk. Tutakapoandaa AFCON waletwe kwa wingi na wao watangaze nchi [emoji3] Click to expand... Sikatai ila Cabo Verde ni level aisee we ngoja Afcon 2027 na tunataka kituo Chao kiwe dar wasipelekwe Kenya Wala Zenji
uhurumoja JF-Expert Member Joined Mar 2, 2014 Posts 12,027 Reaction score 28,589 Feb 5, 2024 Thread starter #47 Mzee wa kupambania said: Sisi tunaotumia Cape vipi? Naona mod wameedit kutoka Cabo kwenda Cape Click to expand... MKo sawa ila Ile ni nchi ya Kireno kwa heshima ya wale warembo naiweka kama wao wanavyopenda jamaa wamejua Kutumia mashindano kutangaza vivutio vyao
Mzee wa kupambania said: Sisi tunaotumia Cape vipi? Naona mod wameedit kutoka Cabo kwenda Cape Click to expand... MKo sawa ila Ile ni nchi ya Kireno kwa heshima ya wale warembo naiweka kama wao wanavyopenda jamaa wamejua Kutumia mashindano kutangaza vivutio vyao