Tuulize sie enzi zetu alikuepo caterer mmoja anaitwa Mangesho akawa analeta ujinga kama huo huo tukampiga chini tena kwa makeke sana. Sema sasa nyie ubrazamen na usister du umewazi hamuwezi kugoma hata kidogo kwa hiyo endeleeni kukomaa mpaka siku mkishikwa na kipindupindu ndo mtajua kuwa mlitakiwa kufanya peoples power

atuhusu nini?????/
jambo lingine la kuangalia ni gharama za uendeshaji wa canteen zimepanda sana. bei za vyakula katika vyuo ni ndogo sana kuliko gharama halisi, kila kitu kimepanda kwa karibu 50-100%. Mfano mwaka jana January bei ya mchele ilikuwa 1000-1200, sasa ni 2100-2500, gas ya kupikia 15kg ilikuwa 35000-38,000 sasa ni 55,000 n.k Wakati bei za vyakula bado ni zile zile za zamani, sishangai quality ya chakula kushuka. Na Cateres wengi kwa sasa wanakwepa hizi canteen, mfano chuo cha usafirishaji walitangaza tenda na kampuni fulani ikashinda, lakini ikabidi iiache hiyo tenda maana hailipi, CBE wametangaza na wanawashawishi baadhi ya credible caterers wachukue tender doc lakini jamaaa wanawakatalia; nani leo auze sahani ya wali nyama 1000? wali samaki 1200?kiongozi/waziri wa afya na chakula ifm anaitwa Joshua anakaa kaa block D , pale wanapo priti...muone pia anaweza kukusaidi mkuu.