Canter

Canter

Danny Massawe

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2012
Posts
1,299
Reaction score
765
Salam wadau!!
Ninahitaji kununua truck kwa ajili ya kubeba mizigo maeneo ya mjini na wilaya za karibu ambazo kwenda na kurudi haizidi 200kms. Mizigo ninayotarajia kubeba ni tani 4 mpaka 5. Ninaomba ushauri ni gari gani ninunue ambayo haitanisumbua na gharama zake za uendeshaji sio kubwa
Mimi niliwaza MITSUBISHI CANTER

NAOMBENI USHAURI NIKIJE NIKANUNUA KITU AMBACHO SIO SAHIHI

Ahsanteni

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom