Cannibalism ktk mapenzi ya Nyoka

Cannibalism ktk mapenzi ya Nyoka

Nimekusoma mkuu,,hizo zote physical apearance,,uwezo wa kipato na hata hizo features za Wakati wa uvulana utaweza kuta wengi wanazo lakini Unaweza kuta mmoja au wawili kati ya wenye hizo features akawakamatia hata 80% ya madem wote darasani au mtaani,,,au kama ni kwenye campus ukakuta 6 au 8 wenye hizo features ndo wanadominate sehemu kubwa ya affairs.Hapa huoni bado kuna kitu cha zaidi kilicho kwa baadhi ya strong character.?
 
Majibu ya maswali yako kwa uelewa wangu ni kama ifuatavyo;

1. Nyoka jike huchagua dume lenye strong character kwa njia ya courtship display ambapo nyoka dume wengi hujiweka mahala pamoja na kila mmoja huanza kuonesha mbwembwe zake za kila aina muda huo jike linakuwa likimfatilia kila mmoja anacho kifanya.Then baada ya hapo jike huchagua lile dume ambalo limeonesha mbwembwe kuzidi wengine huku jike likiamini dume hilo ndo lenye strong genes na dume linakuwa limejishindia mke tayari kwa kwichi kwichi.

2. Jike humla dume ili kuweza kupata virutubisho ambavyo vitaweza kumsaidia kufanya nourishment ya mayai ya watoto watakao anguliwa.

NB: Praying mantis nao wana hiyo tabia ambapo jike humla dume.

** Courtship display kwa tafsiri sisisi ni kwamba ni tabia inayofanywa na baadhi ya viumbe kwa kuonesha maumbile yao au manjonjo kwa minajili ya kumvutia mwenza kwaajili ya mating.



Majibu mengine.
1: Ndiyo kwa binadamu ipo japo sio direct ndiyo maana huwezi kukuta msichana mzuri kama Mimi mars anachukuliwa na harmorapa.

2. Hauhitaji kutiliwa shaka kwasababu kuna hypothesis mbili zinaelezea kwanini wanawake ni wachaguzi(females are choiseful) ukipata muda zipitie ya kwanza ni ; Fischer's hypothesis na The handcap hypothesis.
Mkuu huwa najiuliza yule jike anaweza kurekod show za madume wote (apprx 300) kichwani na akazifanyia upembuzi yakinifu na baadae akachagua mmoja ambae ndie character anayoitaka,,kwa kichwa kile...Nakubaliana na watu wanaosema yule mnyama ana akili za kupitiliza.
 
Back
Top Bottom