Mkuu hii album ninayo asee nimekubali mkuu we ni oldschool saluti sanaSmoke Buddha- Redman, Muddy Waters album
Kama uvuti bangi uwezi kumjua yule anaevuta, ni wavutaji ndio wanajuana kuna code na sign za wavutaji😁How do you feel unapovuta Gambe? Ndugu yangu alikuwa Mkuu sana Polisi na alikuwa anavuta bangi bila watu kujua, Mtu aliyeniambia nilishangaa sana amejuaje sie hatujui, Sikutegemea.
Ganja gun.... ooooh ganja ganjaaa
Je utachukuliaje wewe (mwanaume/mume) ukigunda mkeo anavuta bangi? Au wewe (mwanamke/mke) ukigundua mmeo anavuta bangi?
Inakuaje kuna watu wanafanya kazi nzuri kabisa managers, engineers, doctors etc na wanavuta bangi na wala hawafanyi vitu vibaya kama wengine wa mitaani wanavyochukuliwa? Inakuaje bangi hiyohiyo inakuwa na matokeo tofauti kwa watu tofauti?
Sidhani kama bangi ni mbaya, ila pale inapotumika na mtu ambaye tayari ana mawazo mabaya au tabia mbaya ndipo inachochea.
Sijawahi vuta bangi lakini natamani walau niionje nione how high people get, sijawahi tumia kilevi chochote lakini siku nikianza kutumia basi iwe BANGI!
Mbona ni kawaida wadada kunywa pombe tena zile kali lakini haistaajabishi? Ila mimi leo nikisema navuta bangi basi nitaonekana muhuni sana..
I WISH ILA NAOGOPA outcome yake kwangu itakuaje na je nitakuwa addicted? And to my side nitakuwa sawa kabisa mume wangu akiwa anavuta bangi BUT asiwe na uhuni.
Naombeni mitazamo yenu.
View attachment 2004601
Mm mwenyew nna mpango w kuianza mwakani.. nasbiri heart closer Mtumaini Mungu anikubalie tu [emoji4]Me naamini bangi ni nzuri tena sana japokua sijawah kuitumia but most ov ma friends nnaochill nao maskan ni watumiaj bangi tena sana, na ndio washkaj zangu sana ambao ninawakubali coz huwa hawanaga mambo ya kinafiki wala huwa hawapendi kuongelea habari za mtu, . Those Guyz are good friends.[emoji106]
Ha ha watoto waliingia kichwa kichwa wale wakati muhuni adebisi kashavurugwa kitambo sana... ila mwanangu hakuna series kama OZSimon Adebisi ulimpagawisha Wrangler na Poet kwa maganja yako 😁
Kwa nini?!Siku utakayovuta ndoumekwenda na maji
Acha uongo weweee na usitutishe aiseeMateja wengi walianza na kuvuta bangi co ukianza kuvuta bangi upo kwenye Atari kubwa ya kutumia masembe 75% ya wauza bangi wanauza masembe pia sio rahisi mvuta bangi kukimbia mtego wa sembe wachache Sana walianza kuvuta bangi na kumaliza na bangi ila wengi wanaanza na bangi na kumaliza na sembe be carefully na brother wangu yupo soba Hadi Leo hii
Kuna vitu vyakujaribu lakini si bangi mkuuKwa nini?!
Samahani mkuu kwa personal question? Umeshawahi kutumia bangi?! Ni sababu gani inayopelekea uamini kuwa mtu akitumia bangi ndiyo ameshalose?!Kuna vitu vyakujaribu lakini si bangi mkuu
Hajawahi tumia huyo kasimuliwa tuSamahani mkuu kwa personal question? Umeshawahi kutumia bangi?! Ni sababu gani inayopelekea uamini kuwa mtu akitumia bangi ndiyo ameshalose?!