Misunderstood
JF-Expert Member
- Aug 4, 2020
- 392
- 896
One day nitazitafutaSmoke Buddha- Redland, Muddy Waters album
Hahaha jamaa una ushawishi wewe.!Kuna upotoshaji mwingi kuhusu bangi, bangi haina addiction, bangi haichangii mtu kufanya uhuni wala matendo mabaya, bangi inakuonyesha wewe ni nani inafungua akili yako na kukata minyororo inayokuzuia kuishi maisha ya ukweli....vuta bangi achana na dhana potofu, maisha ni mafupi sana !
View attachment 2004680
Mkuu unamfahamu Muddy Waters?, ha ha haa.Smoke Buddha- Redland, Muddy Waters album
How do you feel unapovuta Gambe? Ndugu yangu alikuwa Mkuu sana Polisi na alikuwa anavuta bangi bila watu kujua, Mtu aliyeniambia nilishangaa sana amejuaje sie hatujui, Sikutegemea.Kuna upotoshaji mwingi kuhusu bangi, bangi haina addiction, bangi haichangii mtu kufanya uhuni wala matendo mabaya, bangi inakuonyesha wewe ni nani inafungua akili yako na kukata minyororo inayokuzuia kuishi maisha ya ukweli....vuta bangi achana na dhana potofu, maisha ni mafupi sana !
View attachment 2004680
BAK kijana alidhania sisi ni wa Ikungu Lya Bashashi kama Nyani Ngabu.Mkuu unamfahamu Muddy Waters?, ha ha haa.
Huwa naamini watu wachache sana wanazielewa nyimbo hizo. Hongera
Sent from my SM-N916S using JamiiForums mobile app
BAK kijana alidhania sisi ni wa Ikungu Lya Bashashi kama Nyani Ngabu.
Smoke Buddha- Redman, Muddy Waters album