Canalsat decoder official for football

Canalsat decoder official for football

DSTV wana special bouquets za channel za kifaransa including Canal. So bado kuwatch mpira kwa channel yoyote nje ya mfumo wa dstv kwa sub saharan countries Ni illegal.
 
Illegal ki vipi?

Channel za kifaransa DSTV wanakopa kwa jamaa wa Canal
Label ya Canal ni big label kama ulikua haujui....
Afu hizo illegal sijui unatumia sheria ya wapi?
Canal wana Beam ina cut accross sub sahara ila sema watu wengi hatuko interested nao sababu wanatumia Kifaransa na Soko lao wameli target French speaking countries ambazo bado zipo Sub-sahara

DSTV nae aliamua kuchukua channel kutoka kwa hawa Canal akijua fika ndani ya Sub-sahara kuna Frech speaking people ambao hawafikiwi na service za Canal
 
Eti kwa hela kidogo tu 75,000 kwa mwez...unavyo itamka kama 7,500 vile
 
Illegal ki vipi?

Channel za kifaransa DSTV wanakopa kwa jamaa wa Canal
Label ya Canal ni big label kama ulikua haujui....
Afu hizo illegal sijui unatumia sheria ya wapi?
Canal wana Beam ina cut accross sub sahara ila sema watu wengi hatuko interested nao sababu wanatumia Kifaransa na Soko lao wameli target French speaking countries ambazo bado zipo Sub-sahara

DSTV nae aliamua kuchukua channel kutoka kwa hawa Canal akijua fika ndani ya Sub-sahara kuna Frech speaking people ambao hawafikiwi na service za Canal
Okay iko hivi, kuna baadhi ya matangazo ambayo pamoja na uwezo wako wa kurusha matangazo recipient wa matangazo hayo ni lazima wawe kwenye specific areas pekee. Kwa mfano, Canal wanarusha ligi ya EPL kwenye channel zao lakini kwenye broadcasting rights za kuonyesha ligi ya EPL kwa sub Saharan Africa wanayo DSTV. Hii ina maana channel yoyote itakayorusha ligi ya EPL kwa nchi za sub Saharan Africa inakuwa illegal. Kama utakumbuka BeIn Sport ambayo wengi wetu tuliitumia last season, walikuwa wanaweka tangazo pale tu zilipokuwa zinaanza games za EPL wakisema if you are watching this kwa sub Saharan Africa then its illegal. Hata hivyo kuna kifurushi kidogo ambacho huwa wanaonyesha mechi moja kwa week ambacho huwa kinanunuliwa na local channels ambacho nadhani kwa sasa hapa kwetu wanacho Sibuka na ATN kama sijakosea. So kama unaangalia Canal straight bila kupitia DSTV na ikafika mpira wakaendelea kuonyesha then inakuwa illegal kinachotakiwa kufanyika ni kwamba inapofika wakati wa mpira ni either wasitishe matangazo kwa ukanda huu au waonyeshe kitu kingine. That's what I meant mkuu
 
kwa sh hizo unazosema huwezi chaneli 80 badala yake unapata chaneli 7 tu nazo canal family, canal ouest, canal sport, canal series, canal foot, canal cinema na canal centre, tena kwao ni karibia 30000 na uchache. ss3 inauzwa kama add on kwa karibia tsh 25000. package hiyo inaitwa Les chaines. Aidha ukinunua package hiyo huwezi pata matangazo ya FA na capital one. Ikumbukwe kuwa sport+haipo kwenye package ya les chaines.
 
Okay iko hivi, kuna baadhi ya matangazo ambayo pamoja na uwezo wako wa kurusha matangazo recipient wa matangazo hayo ni lazima wawe kwenye specific areas pekee. Kwa mfano, Canal wanarusha ligi ya EPL kwenye channel zao lakini kwenye broadcasting rights za kuonyesha ligi ya EPL kwa sub Saharan Africa wanayo DSTV. Hii ina maana channel yoyote itakayorusha ligi ya EPL kwa nchi za sub Saharan Africa inakuwa illegal. Kama utakumbuka BeIn Sport ambayo wengi wetu tuliitumia last season, walikuwa wanaweka tangazo pale tu zilipokuwa zinaanza games za EPL wakisema if you are watching this kwa sub Saharan Africa then its illegal. Hata hivyo kuna kifurushi kidogo ambacho huwa wanaonyesha mechi moja kwa week ambacho huwa kinanunuliwa na local channels ambacho nadhani kwa sasa hapa kwetu wanacho Sibuka na ATN kama sijakosea. So kama unaangalia Canal straight bila kupitia DSTV na ikafika mpira wakaendelea kuonyesha then inakuwa illegal kinachotakiwa kufanyika ni kwamba inapofika wakati wa mpira ni either wasitishe matangazo kwa ukanda huu au waonyeshe kitu kingine. That's what I meant mkuu

kimsingi wanatakiwa kutoa hudu katika nchi zinazoongea kifaransa tu ndiyo maana hawawezi kuwa na mawakala halali kwenye nchi kama tanzania. Hata huyo anayezitanga hapa anafanya biashara haramu. Tembea dar yote uone kama utaona bango la Canalsat. Hata hivyo kwa mtumiaji haiwezi kuwa haramu. Binafsi natumia huduma kitambo sasa.
 
Mkuu toka nimeupdate Q3 mwezi wa 2 au wa 3 hadi leo sijapata huduma... Sikuharibii ila huduma kiukweli imekufa.. Na nikikusms na kukupigia no response... Sisi ndio wateja wako usipotusikiliza na kutaka kupata wapya tu unakosea
 
Hana uwezo wa kukusaidia kwa lolote ndii maana amekuchunia. Hata hivyo alitakiwa kuwa muwazi kwa kwa kukueleza faida na hasara ya qsat ili wewe uchukue maamuzi (informed choice). Tabia yao ni kuficha habari muhimu (information asymmetry) kuhusu biashara yao ili wafanye biashara.
 
Dah... Sasa nafanya je tena hapa... Any help mkuu
 
Update Qsat to latest version
Kama ni really lover wa DSTV funga DSTV south Afrikan beam @68.5E sijui inaitaji dish gani ulipo maana upande wa 36E panaonekana pako secured zaidi
6b6f258938464f3a6b81d123301629aa.jpg
 
Asante sana... Ni gharama kiasi gani kwa wewe kunisaidia hii.. Niko Dsm
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom