-Gharama ya kununua canal+(canal + ) ni 150,000 inakuja na dish na vifaa vyake vyote ikiwemo waya na LNB pamoja na dekoda(rimoti,hdmi,rca cable,power cable)
-hiyo 40,000 ni malipo kwa mwezi ambapo unaona ligi zote kubwa kama EPL(england),LA LIGA(spain),SERIE A(italy),BUNDESLIGA(ujerumani),LIGUE 1(ufaransa) pamoja na baba lao UEFA CHAMPIONS LIGUE
-utaratibu wa malipo ni kutuma hela kwa wakala(nipo kigoma)
asante
NB.na michezo mingine mingi ikiwemo magari,pikipiki,mieleka nk pia utapata